Maembe ya Kenya yapita mtihani na kukubalika Italy, sasa ni mwendo wa biashara

Sijasoma yote....

Siko na ushabiki wowote wa kisiasa .....

Siko na ushindani wowote wa kibiashara wala kushindanisha nchi.....

Ila......

Nimekumbuka Kenya ilitambulika kama muuzaji mkubwa wa Tanzanite ambayo inachimbwa Tanzania pekee....

Nikajikuta nawaza...... Tanga kwetu kulivyo na maembe aina kwa aina (dodo, bolibo, embe sindano, embe nyonyo, embe duara nakadhalika).
Usijekuta haya yaliyopata kibali kuuzika Italy yanatokea Tanga....

Well all ni all hongereni kwa kupata chepuo ya biashara, haijalishi maembe mnalima nyie ama mnayanunua nchi jirani.

Nothing less, nothing more, was just thinking aloud.
well said siyo embe tu hata machungwa mengi yanapelekwa Mombasa
 
Back
Top Bottom