Dominic Myumbilwa
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 190
- 93
kuna mdogo wangu mmoja alikuwa anaupenda huu wimbo yaani anaimba na raha zote huwa nikiusikia namkumbuka sana. maisha yamefunya tuwe mbalimbaliMastono wamenirukia nna kuberi mdomoni eeh....
machizi eeh,mwenzenu naozea segerea
huu wimbo unaniachaga hoi
Jamanikuna mdogo wangu mmoja alikuwa anaupenda huu wimbo yaani anaimba na raha zote huwa nikiusikia namkumbuka sana. maisha yamefunya tuwe mbalimbali