Nataka nifanye ivyo....siku moja moja offer sio mbaya
sitaki tabia ya kunichonganisha na baba ... anipenda na mimi nampenda sana baba yangu
Mweeeeeeeh!! Kazana sasa kumlinda baba yako! Ngoja nikuitie hapa mama zako wadogo uwajue!
Nimemuacha ila Kua makini na baba yako utafiti Maana hachelewi kukuuza!
You are going to hate your dad soon!
Haya mkuu ngoja tusubirie hiyo ahadi yako mkuu utafitiUsijali kabisa mkuu
You are going to hate your dad soon!
Never ever
Never ever
i love u dady no matter what
You are going to hate your dad soon!
no matter what u say i will still love ma dady
i love u dady no matter what
Nakupenda sana mwanangu ila si unawaona walimwengu?
no matter what u say i will still love ma dady
Mwanangu nitakulepeka ulaya ukasome maana una akili nyingi
Mwanangu nitakulepeka ulaya ukasome maana una akili nyingi
asante baba yangu mwace huyo rafiki yako hatupendi baba kukucd yupo wapi?
Hebu mwite kukucd mwanangu nataka nimuone
sijui yupo wapi? nadhani atakuja