Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
hanidananganyi baba yangu ni mkweli kasema hatpita tena kule
Umeona kumbe Bado hajaacha kale katabia Ka michepuko!
hanidananganyi baba yangu ni mkweli kasema hatpita tena kule
Mwanangu miss chagga bazazi wa kike anaitwaje? Ndo huyu mwallu
Mwanangu miss chagga bazazi wa kike anaitwaje? Ndo huyu mwallu
Umeona kumbe Bado hajaacha kale katabia Ka michepuko!
Umeona eeeh? Na mwanae kwa ubishi hasikii Wala haoni! miss chagga Mwambie baba yako utafiti aje hapa ajibu sasa km anaweza!
Wewe mtoto unalako jambo kwa baba yako Maana Si bureeee!
Ngoja tukuletee Ushahidi Wa kauli za baba ako Uone anavyomwagaga sera! Ni Bazazi aliekubuhu!
we ulinikaribisha kigamboni
umesahau?
ivi unajua babayo utafiti alikua anataka kunitoa parokiani?
kama nini napenda familia yangu siwezi kumwona baba yangu mnamsema nikae kimya
Akakuomba na anuani! Ebu mletee hizo kauli Zake Huyu mtoto wake miss chagga atulie!
loh baba yangu huyu huyu? mwacheni baba yangu loh
Akakuomba na anuani! Ebu mletee hizo kauli Zake Huyu mtoto wake miss chagga atulie!
jamani hivi ni nini? kwani baba kakuibia mpenzi wako
na utawa wote huu akawa ananikaribisha kigambonino..
Wewe huoni kakimbia?