Maembe BOLIBO..Page 2

Last edited by a moderator:
Kumbe mkuu utafiti unajua kule ni mbali eeehh hebu jaribu twende siku moja kwa bajaji hutatembea tena maana inaonekana wewe ni mvivu sana kutembea




Utapofuka ukienda kule miss chagga wala usitake kujua ni wapi ila usiende kabisa

Hamna bana huko mbali najua wewe ndo zako
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mkuu utafiti unajua kule ni mbali eeehh hebu jaribu twende siku moja kwa bajaji hutatembea tena maana inaonekana wewe ni mvivu sana kutembea




Utapofuka ukienda kule miss chagga wala usitake kujua ni wapi ila usiende kabisa

naomba niambie na miminiende sitamwambia baba
 


Warembo hawa wanapatikana maeneo ya Posta Mpya
Haya wale Wazee wa #TeamBazazi kazi kwenu


daaahhh!!!! i dont believe my eyes!!!

aisee dunia ina maua mazuri sijaona!

nimpende nani...?

ngoja niingie google kwa info zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…