Maelfu ya wayahudi weusi waandamana Israel kupinga ubaguzi mmoja amiminiwa risasi

Wayahudi gani hawa si waafrika wenzetu sasa wameenda kujipendekeza huko wameacha nchi yao waliyozaliwa kwa ujinga wao acha wasomeshwe namba tuu
 
Wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.
 
Unapendaje watu ambao hawakupendi?.shtuka unaibiwa wewe
 
Kwao ni Israel, watapambana huko huko mpaka kieleweke!! Wapalestina ndo wanapaswa kutoka huko waende kwa waarabu wenzao!!!!! Kama wayahudi waliokuwa Ethiopia walivyoondoka na kwenda Israel kwa wayahudi wenzao, hali kadhalika waarabu walioko Palestina wanapaswa kuondoka na kwenda kwa waarabu wenzao. Tatizo ni kuwa waarabu wenzao hawataki kuwapokea. Nashauri waarabu waige mfano wa wayahudi walivyowapokea wayahudi wenzao!!!
 
wayahudi weusi ndo wapi hao,naomba elimu kidogo
Wayahudi weusi ni wazao wa Ibrahimu lakini wenye ngozi nyeusi na waliposambaratishwa huko Israel walijikuta wamehamia Ethiopia kama ambavyo wayahudi wengine walihamia ulaya, urusi, marekani na kwingineko. Si ajabu kuwepo wayahudi weusi kama ambavyo kuna waarabu weusi kabisa na kuna wahindi weusi kabisa. Ushahidi kuwa ni wayahudi ni jinsi walivyotunza mila ,tamaduni na dini yao ya kiyahudi. Kwa mfano ni Myahudi pekee duniani mwenye uwezo wa kuainisha mtandao wa ukoo wake hadi kwa mmoja wa watoto wa Yakobo. Huo ndio mtihani pekee wa kuthibitisha kuwa mhusika ni myahudi.
 
Kama hujui uliza ili usaidiwe.... Pole Sana ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…