Maelfu ya wayahudi weusi waandamana Israel kupinga ubaguzi mmoja amiminiwa risasi

Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
1,703
Points
2,000
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
1,703 2,000
Nilijua tu uta reply. Mkuu ungama dhambi zako ubatizwe ukumbali Yesu kama Mungu wa kweli na kipekee uepuke jihanam
mungu mtu anaekunya na kuharisha pmj na kukojoa

mungu wa namna hii,hawezi umba hata kamasi!!!!!!

Ficha ujinga wako Kijana
 
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
1,703
Points
2,000
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
1,703 2,000
Kama wewe unavyoficha ujinga wa kuliabudu jiwe jeusi
Ikiwa analiabudu,basi atakuwa mjinga asiekuwa na mfano

Na kama unabahatisha kwa maneno yako,
Basi ww ni mjinga wa kukimbiwa kama ukoma
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
581
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
581 500
mungu mtu anaekunya na kuharisha pmj na kukojoa

mungu wa namna hii,hawezi umba hata kamasi!!!!!!

Ficha ujinga wako Kijana
Imran 47 hajaumba ndege???
Taja wewe mungu wako kaumba nn??
Yesu ni neno la MUNGU vyoote umefanyika kwa yeye.
Yeye ndie amtiae nuru kila ajae ulimwenguni. Yeye ni nuru.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
94,760
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
94,760 2,000
The so called Taifa la wateule. Wabaguzi washenzi hawa wana chuki za kutisha kwa watu weusi nadhani kuliko Taifa lolote lile duniani.

Jamii ya wahajiri wa Ethiopia wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, imeisababishia changamoto mpya serikali ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo, kutokana na maandamano yake mapya mjini Haifa.
Hata kama sababu ya maandamano ya sasa ya wahajiri hao wa Ethiopia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu inatokana na kuuawa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 19 na polisi wa utawala haramu wa Israel, lakini maandamano ya wahajiri hao wanaoishi huko Israel sio suala jipya na lina sababu za msingi. Kwa mujibu wa takwimu, kwa uchache watu laki moja na elfu 30 ya watu wanaoishi katika ardhi hizo zinazokaliwa kwa mabavu ni Mayahudi wenye asili ya Ethiopia ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Ethiopian National Project, elfu 82 kati yao walizaliwa nje ya Israel. Ukweli ni kwamba hali ya Mayahudi hao elfu 82 waliopelekwa katika ardhi hizo zinazokaliwa kwa mabavu chini ya staratijia ya kuwahamishia wahajiri wa Kiyahudi huko Israel, inatofautiana sana na Mayahudi wengine wanaoishi ndani ya ardhi hizo zinazokaliwa kwa mabavu (Israel). Baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni linawatazama Mayahudi wenye asili ya Ethiopia na ambao wanaitwa 'Mafalasha', kuwa ni watu wa darala la tatu. Ni kwa ajili hiyo ndio maana kunatekelezwa ukatili wa kimuundo dhidi ya Mayahudi hao wa Kifalasha, kukiwemo kuwabagua, kuwafanya kuwa masikini wa kutupwa na kuwafanyia ukatili wa kimwili. Utawala wa Kizayuni ambao uliwapa ahadi mbalimbali Mayahudi hao wa Ethiopia kwa ajili ya kuwashawishi wahamie katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu, uliwaweka katika maeneo ya mashariki mwa Israel ambayo kwa kawaida huishi jamii za watu masikini.
Mayahudi wenye asili ya Ethiopia na Mayahudi wanaotoka Mashariki wote wanalalamikia ubaguzi wanaofanyiwa na utawala huo wa Kizayuni. Kwa mfano, Mayahudi hao hawapewi haki sawa na Mayahudi wanaotoka nchi za Magharibi. Moja ya sababu za kuendelea maandamano ya Mayahudi wenye asili ya Ethiopia dhidi ya serikali ya Tel Aviv ni ubaguzi huo. Ama sababu nyingine ni ongezeko la umasikini kati ya jamii ya Mayahudi wa Ethiopia. Hii ni kusema kuwa umasikini kati ya Mayahudi hao wa Falasha wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni wa kiwango cha 3.5 ikilinganishwa na umasikini wa maeneo mengine yote ya utawala huo ghasibu. Katika uwanja huo hivi karibuni mtandao mmoja wa habari nchini Misri uliandika kuhusiana na suala hilo kwamba: "Kiwango cha umasikini kati ya Mayahudi wenye asili ya Ethiopia kimefikia asilimia 51.7 katika hali ambayo kiwango cha umasikini katika maeneo yote ya utawala wa Kizayuni ni asilimia 15.8." Umasikini miongoni mwa jamii ya Mayahudi hao umefikia kiwango ambacho, watoto wao wanashindwa hata kwenda shule. Mashambulizi ya kimwili ya askari wa utawala wa Kizayuni ni sababu nyingine muhimu ya kufanyika maandamano ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia dhidi ya serikali ya Tel Aviv. Mayahudi hao wanasema kuwa polisi wa utawala huo khabithi wamekuwa wakiwatuhumu na kuwashambulia kwa kila jambo, hata bila ya kuwa na ushahidi wala uthibitisho wa kutosha wa kuhusika kwao na jambo wanalotuhumiwa kuhusika nalo.
Maandamano ya sasa ya Haifa yaliibuka katika kulalamikia mauaji dhidi ya kijana mmoja mwenye umri wa miaka 19 wa jamii ya Mayahudi hao. Jumapili iliyopita askari mmoja wa Israel alimshambulia na kumuua kijana huyo aliyekuwa anaitwa Solomon Teka mjini Haifa kwa kumpiga risasi. Hii ni katika hali ambayo kijana huyo wa jamii ya Mafalasha hakuhatarisha kivyo vyote maisha ya askari huyo. Itakumbukwa kuwa mwezi Januari mwaka huu, maelfu ya Mayahudi hao wenye asili ya Ethiopia pia walifanya maandamano makubwa mjini Tel Aviv baada ya askari mwingine wa Israel kummiminia risasi kijana mwingine mwenye asili ya Ethiopia. Nukta muhimu ni hii kwamba ubaguzi mkubwa wa rangi wa utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya Mayahudi hao, kiasi cha kufikia kuwaua, ni jambo la kawaida kwa kuwa askari wanaohusika na mauaji hayo huwa wanafutiwa mashtaka kama ilivyoshuhudiwa katika tukio la hivi karibuni ambapo awali mtuhumiwa wa mauaji alishikiliwa na baada ya siku chache, akaachiliwa huru. Nukta ya kumalizia ni hii kwamba maandamano ya Mayahudi wenye asili ya Ethiopia wanaoishi ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Isreal yamebadilika na kuwa tatizo la usalama kwa Benjamin Netanyahu ambaye kwa sasa baada ya kushindwa kuunda serikali mpya, anaendelea kuongoza serikali isiyo kamilifu. Kwa upande mwingine anakabiliwa na kampeni za uchaguzi wa bunge uliopangwa kufanyika mwezi Septemba mwaka huu ikiwa ni uchaguzi wa pili kufanyika katika kipindi cha miezi sita.
Tags
ISRAEL Picha ya kijana aliyemiminiwa risasi bila hatia na askari wa Israel na kupelekea kuibuka maandamano 
Mayahudi wenye asili View attachment 1148401View attachment 1148402View attachment 1148403
 
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
1,443
Points
2,000
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
1,443 2,000
Hakuna kitu kinamichefua maishani kwangu kama hii itikadi ya weusi na weupe.
Mbona sisi weusi walalamishi sana..tunajiona special race eeh
Kwa weupe kukikushinda rudi Ghana/Tanzania etc
Izi nyimbo za kubaguliwa zinaisha lini??!! Sio kwamba sisi ndo tunajibagua
 
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,876
Points
2,000
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,876 2,000
Walimpinga Yesu,na hawamkubali mpaka leo,na ni ndugu yao wa damu,na wanajuwa kama katumwa na Muumba wa viumbe vyote,tunavyovijua na tusivyovijuwa,yaani ni Mtume wa Mungu,itakuwa wengine,wasiokuwa ndugu zao wa damu.
Hiyo ni laana inayowasumbua mpaka leo. Na marekani naye anaibeba kwa gharama kubwa sana bila kujua
 
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,876
Points
2,000
JustDoItNow

JustDoItNow

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,876 2,000
Na hao hao Wayahudi ndio walioeneza ukristo.

Petro alikuwa nani? Yohana alikuwa nani eti baadaye miaka 600 kupita Mudi akampachika jina Yahya (pathetic) Stephano alikuwa nani? Paulo alikuwa nani wewee mbwiga?

Ndio maana tunawapenda wayahudi.

Better to worship a stone than being a Muslim. And better to go to hell than muslim paradise bcoz hell is much cooler than your paradise.

Jesus first Jesus Forever.

If you don't love Jesus who the hell will you love?

God bless Israel
Islamic religion and Christian religion they are all belong to Judaism religion ambayo ni dini ya kiyahudi. wanaziita abrahamovic religion
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,913
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,913 2,000
Hao wayahudi wa wapi? maana wayahudi walikuwa ni kakabila 12 ambao ndiyo hasa chimbuko la taifa hilo teule yaani ukoo wa YUDA.
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,147
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,147 2,000
Na hao hao Wayahudi ndio walioeneza ukristo.

Petro alikuwa nani? Yohana alikuwa nani eti baadaye miaka 600 kupita Mudi akampachika jina Yahya (pathetic) Stephano alikuwa nani? Paulo alikuwa nani wewee mbwiga?

Ndio maana tunawapenda wayahudi.

Better to worship a stone than being a Muslim. And better to go to hell than muslim paradise bcoz hell is much cooler than your paradise.

Jesus first Jesus Forever.

If you don't love Jesus who the hell will you love?

God bless Israel

Sipati picha angeuawa kwenye mikono ya waarabu, wayahudi weusi mngetukana sana na kulaani mauaji hayo 😁😁
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,942
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,942 2,000
Hii uturuki nchi ya kiislamu View attachment 1148464
Turkey ni nchi ya secular siyo nchi ya kiislam.
Na ni westerners hao.
Hata hvyo police kutawanya hao mashoga Atleaast wameonesha juhudi kuwa wanachukizwa na walishatoa onyo la maandamano hayo.
Ila ISRAEL UFIRANAJI UNARUHUSIWA WAZI WAZI.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,942
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,942 2,000
Ni kwamba, aliuawa kwa sababu ni mweusi? Yasije kuwa ya America, Jambazi mweusi akipigwa risasi na askali mweupe na wao wanaandamana kupinga ubaguzi.
Aaah TUSHAWAZOEA NYIE AMBAO BWANA WENU MMAREKANI.
VIPI KUHUSU YULE KIJANA WA MIAKA 19 ALOULIWA AKIWA HANA HATA BISIBISI MKONONI?!
NAE ALIKUWA JAMBAZI?!
WATU WEUPE SIJUI WANAWAFANYAGA NN NYIE MNAOWAPENDAAA
 

Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top