Maelfu ya UVCCM, watikisa viwanja vya Mwembe Yanga

Maelfu ya vijana wa UVCCM wakiongozwa na komredi Dr Emmanuel Nchimbi,wapo wakiendelea na mkutano wao viwanja vya Mwembe Yanga wakiandika historia ya vijana kufanya mapinduzi ya kumchagua Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mkutano huo upo live Star TV.

Weka ushahidi wa picha wewe, hupo town kabisa unashindwa kuweka picha,?? Tunapata picha kutoka vijijini huko sembuse hapo town Dar..kweli CCM mnajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Wanajamvi,

Imeumia sana na kauli za mtaani tunazo ambiwa sisi wana Yanga ni CCM jambo ambalo silipendi sana na ukizingatia Manji katokea katika mkutano wa CCM Mwembe Yanga sasa mashabiki wa simba wanatucheka sana na sisi wengine Yanga tunaonekana kama kupe sasa mimi nina hasira sana nipo mbioni kuacha kuishabikia Yanga.
 
Kama Watz wakiichagua CCM tena, NITAUMIA SANA kwasbb CCM haifai hata kidg....na imejaa mazezeta na majizi. Hebu fikiri walikuwa wapi mpaka tunafunga mabwawa yote ya kuzalisha umeme...MUNGU TUNAKUOMBA UIADHIBU CCM MWAKA HUU.
 
Wewe lazima utakuwa shabiki maandazi wa Yanga
kwani kwa tunaoijua Yanga hata kabla ya huyo
gabachori manji tunabaki tuna kushangaa tu.
Yanga chama kubwa...
 
Last edited by a moderator:
Miaka ya nyuma yanga ilikuwa ikishinda tunashabikia ccm ccm ccm ccm ccm!!

Yanga ni imara kama baba yake ccm wewe hama tu...
 
Hahahhaaa...mkutano watu hawafiki hata mia tano...eti maelfu lol aibuu yenu kazi matusi tuu ndo sera mliyobaki nayo hiyoo
 
Maelfu ya vijana wa UVCCM wakiongozwa na komredi Dr Emmanuel Nchimbi,wapo wakiendelea na mkutano wao viwanja vya Mwembe Yanga wakiandika historia ya vijana kufanya mapinduzi ya kumchagua Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mkutano huo upo live Star TV.

Nawashangaa sana vijana Wa IT masaki mkisha post uzi Kwanza mnakimbilia kujijibu wenyewe kwa kumsifia mapushup wenu kwa nn msisubir watu wachangie?
 
Back
Top Bottom