Maelfu ya UVCCM, watikisa viwanja vya Mwembe Yanga

Maelfu ya UVCCM, watikisa viwanja vya Mwembe Yanga

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
Maelfu ya vijana wa UVCCM wakiongozwa na komredi Dr Emmanuel Nchimbi,wapo wakiendelea na mkutano wao viwanja vya Mwembe Yanga wakiandika historia ya vijana kufanya mapinduzi ya kumchagua Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mkutano huo upo live Star TV.

Wanajamvi,

Imeumia sana na kauli za mtaani tunazo ambiwa sisi wana Yanga ni CCM jambo ambalo silipendi sana na ukizingatia Manji katokea katika mkutano wa CCM Mwembe Yanga sasa mashabiki wa simba wanatucheka sana na sisi wengine Yanga tunaonekana kama kupe sasa mimi nina hasira sana nipo mbioni kuacha kuishabikia Yanga.
 
Maelfu ya vijana wa UVCCM wakiongozwa na komredi Dr Emmanuel Nchimbi,wapo wakiendelea na mkutano wao viwanja vya Mwembe Yanga wakiandika historia ya vijana kufanya mapinduzi ya kumchagua Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mkutano huo upo live Star TV.

Kazi nzuri ya Dr Nchimbi
 
Dr Nchimbi on special assignment.
We know what we are doing.
 
Mie kilichonileta hapa Mwembeyanga ni posho ya 10,000. Tshirt, kofia na UDA la kunileta na kunirudisha Kisarawe. Baadaya hapa narejea kwa MABADILIKO.
 
kuna porojo ambazo ukizickilza unashangaa kua wanaozisema wanajitambua ama la wanasifia pushap wanadai lowasa ni mpiga madili sasa najiulza hv ccm kumbe wapiga madili wakiwa ccm hua sio tatizo sana ila wanasubiriwa wahame?? mi nilitaraji waje kutuelezea maisha bora tuliyoahidiwa maana ata wakati nakuja nimekutana na foleni ya hatari badala ya kujbu hayo wanaleta hadithi
 
Hongera vijana.msiige tabia ya viroba,fujo na uzururaji.yabaki huko UKAWA

na tutabaki hukuhuku kupigania mabadiliko ya ukombozi kwan unywaji wa viroba pamoja na uzurulaji ni product ya ccm!!
 
dr nchimbi anajua anachokifanya tarehe 25 ndio mtamwelewa kazi aliyopewa ni kuhakikisha kura za lowasa ndani ya ccm hazipotei hasa kwa hao vijana
 
Hongera vijana.msiige tabia ya viroba,fujo na uzururaji.yabaki huko UKAWA

Ahsante mkuu, sisi sio level ya viroba, fujo na uzuraji.
Sisi ni wa level ya Escrow, Richmonda, EPA na nyingine kubwa zinazo fanana na hizo.
 
Kwani nchimbi hajaondoka tu ila huyu ni mtu asiependa kuona utaratibu unakiukwa ndo mana amebaki ili mbeleni awe mtetezi wa watz ndani ya chama
 
CCM haifai kushika dola kwani haina wabunge wenye uwezo wa kufikiri zaidi ya kupiga pushapu. Tumechoka na wabunge wa kupiga makofi bungeni bila kuwatetea wananchi.

Tunajua siku zote wabunge wa CCM hawana jipya zaidi ya kusema ndiyo, sifa ya CCM ni pushapu na sio uwezo wa kifikra.
Mwaka huu tutegemee CCM kupeleka wabunge mabomu mara kumi ya awamu zilizopita kwani mwaka huu hata hoja majukwaani hakuna zaidi ya Vijembe na kucheza ngoma na pushapu.

Sijawahi kumwona Nyerere au Karume akipiga pushapu wanatuonyesha uhuni tu majukwaani, wacheza disko na wakata mauno hatuwataki bungeni kwani wanaendekeza starehe tu na misifa huku wakipiga makofi bila kujenga hoja.

Tukiichagua CCM na wabunge wake na madiwani wake inabidi watanzania tukapimwemwe akili. Mpaka sasa sijaona MCCM hata mmoja mwenye busara kama mpaka DR Nchimbi amekua mtu wa mipasho basi CCM wapumzike kwani wamelewa madaraka na hawaoni aibu itakapowapata pale Mungu atakapowaweka adui(CCM) wa Watanzania maskini chini ya miguu yao.

CCM ikianguka itakua ni pigo na adhabu kwa wakubwa na watoto wao toka kwa Mwenyezi Mungu. Itakua ni furaha na ukombozi kwa wanyonge walioonewa na kutukanwa kwa nusu karne.

Mungu tuepishe na dhambi ya kuichagua CCM na Magufuli aliyemhonga hawara nyumba ya umma wa watanzania kwa tamaa ya zinaa.
 
Mie kilichonileta hapa Mwembeyanga ni posho ya 10,000. Tshirt, kofia na UDA la kunileta na kunirudisha Kisarawe. Baadaya hapa narejea kwa MABADILIKO.

We kweli Batabovu , sisi tuko hapa uwanjani we uko nyumbani kwako unaandika vimeseji vyako vya kijinga! elfu kumi ulipewa nani!? acha unyumbu. Njoo mkutanoni uone.
 
Last edited by a moderator:
Maelfu ya vijana wa UVCCM wakiongozwa na komredi Dr Emmanuel Nchimbi,wapo wakiendelea na mkutano wao viwanja vya Mwembe Yanga wakiandika historia ya vijana kufanya mapinduzi ya kumchagua Magufuli kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mkutano huo upo live Star TV.

Porojo at work.
NAANGALIA STARTV HAPA HAYO MAELFU SIYAONI. LABDA MBUNI ILE STYLE YA MOSHI.
 
Back
Top Bottom