Maelfu washiriki Mazishi ya Diwani Kata ya Mikocheni(CHADEMA) Mama Bethel Kimei

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,590
223,179
Viongozi wa Chadema wakiwemo Katibu Mkuu Dr Vicent Mashinji , na Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani walikuwepo

Diwani wa kata ya Mikocheni Chadema, Mama Bethel Kimei alifariki dunia usiku wa kuamkia Alhamisi 28/2/2019 nchini Marekani alikokwenda kwa matibabu. Mama Kimei ni mama wa msanii wa Hip Hop Langa Kileo aliyefariki miaka 6 iliyopita.

Subpost 5 - Katibu Mkuu wa Chadema Mhe. @Vicent_mashinji na Waziri Mkuu Mstaafu .jpg


Subpost 3 - Katibu Mkuu wa Chadema Mhe. @Vicent_mashinji na Waziri Mkuu Mstaafu .jpg


Subpost 4 - Katibu Mkuu wa Chadema Mhe. @Vicent_mashinji na Waziri Mkuu Mstaafu .jpg
 
Back
Top Bottom