mwanakidagu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 208
- 78
Sawa viwanda hakuna,na serikali haina mpango wa kujenga viwanda.Vijana wanalalamika kuhusu ajira,Lakini ni lazima serikali iwatafutie vijana wote ajira?.Nini maana ya usomi wenu,kama hamuwezi kuunganisha mitaji midogo na kutengeneza small enterprises,kweli wanaojiita wasomi wa Tanzania ni janga kuu kwa taifa.
Hao DUCE wametangaza nafasi zipi?
Tutafika tu

jichangeni wawili watatu kopeni kwa ndugu na jamaa mkalime tena mliosoma mtalima kitaalamu zaidi, mtatafuta masoko kawa akili na mtajua mlime nini ili mtoke, mnaanzisha hata mradi wa kufuga samaki, mbuzi kondoo na vingine. hata kuku bata tena bata hawana mashida afu mnafungua kiband/mgahawa mnapiga supu chips na nyama choma, limeni vitunguu nyanya na vitu vingine visivyotaka mitaji mikubwa. mnangoja ajira! mtangoja milele na mtakufa bila kelele kama wafuasi wa kibwetere. bila kusahau huko moro malinyi heka ya ardhi haizidi hamsini elfu na huko ludewa pia nendeni mkalime ndizi kisomi. unajua eka moja ya ndizi unaweza pata sh ngapi? katafiti huko we unafikiri kompyuta ni ya kuangalizia vampire diary na Nikita!sasa wewe mburula unazungumza aya na unalelewa na jeshi,alafu umeingia jeshi kwa kimemo hauna ata sifa..alafu unaona vijana wanaoangaika hawana akili..!!kama sio uchawi sijui huu tuupe jina gani.
Hebu tuchanganulie walau mradi mmoja bila mtaji ukafanyika na kumake profit? wewe si msomi!
Kumbuka benki hupati mkopo unless unadhaminika, unajuwa namaanisha nini, tunakusubiria mkuu utupe ujanja wa kuperform bila mtaji.
sasa wewe mburula unazungumza aya na unalelewa na jeshi,alafu umeingia jeshi kwa kimemo hauna ata sifa..alafu unaona vijana wanaoangaika hawana akili..!!kama sio uchawi sijui huu tuupe jina gani.
jichangeni wawili watatu kopeni kwa ndugu na jamaa mkalime tena mliosoma mtalima kitaalamu zaidi, mtatafuta masoko kawa akili na mtajua mlime nini ili mtoke, mnaanzisha hata mradi wa kufuga samaki, mbuzi kondoo na vingine. hata kuku bata tena bata hawana mashida afu mnafungua kiband/mgahawa mnapiga supu chips na nyama choma, limeni vitunguu nyanya na vitu vingine visivyotaka mitaji mikubwa. mnangoja ajira! mtangoja milele na mtakufa bila kelele kama wafuasi wa kibwetere. bila kusahau huko moro malinyi heka ya ardhi haizidi hamsini elfu na huko ludewa pia nendeni mkalime ndizi kisomi. unajua eka moja ya ndizi unaweza pata sh ngapi? katafiti huko we unafikiri kompyuta ni ya kuangalizia vampire diary na Nikita!