Maelezo yanahitajika hapa.

kwamba kazaa mtu mweusi ama anazaa mbele ya kemera au anazaa akiwa na RABA
 
utafiti salama mkuu
Hapo mama lazima aeleze hiyo kitu ametoa wapi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijui ataanzaje kunielewesha
\
Si unajua babu wa babu yake na yule shangazi wa mtaa wa tatu ambaye ni mume wa mdogo wake na bibi alikuwa mweusi
Nadhani hapo utaelewa kwa nini imetokea hivyo
Ukiunganisha huo uhusiano ambao hata kuuelewa huuelewi utapata jibu
 
Hahaha hakuna kitu kama hicho kaka hapo ni kuibiwa mchana
 
Hahaha hakuna kitu kama hicho kaka hapo ni kuibiwa mchana

Hahahahah mkuu utafiti watatafuta sababu za kukushawishi tuu kuwa kwenu au una genes za weusi japo wewe na mkeo ni full weupe
 
Last edited by a moderator:
Hapo utata.

Tukiachilia hayo mtoto anaonekana sio mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…