Maelezo ya ku- root Android phones


Na hii nayo imefail kwenye VIWA Max 5.
 
ahsante mkuuu ...kwa ushauri wako ....
bila kusahau ....Samsung captivate,galaxy pocket duos aka y lite duos,
.....
Tafadhali mdau
simu yangu ni Halotel H8501 naomba kusaidiwa namna ya kuroot maana muda si mrefu nilikuwa nataka kutumia fonts kutoka Play store lakini zimegoma na nikawa directed kuroot simu yangu na mimi ni mgeni kwenye ulimwengu huo
 
wanajamii forum naomba msaada jinsi ya kuroot simu yangu Halotel H8501
 
Nimejariibu kuroot techno y3+ but inakataa, nimesha download king root ikifika 22% cm inazima na inawaka lakini haiendelei kuload tena msaada tafadhali
 
Nimejariibu kuroot techno y3+ but inakataa, nimesha download king root ikifika 22% cm inazima na inawaka lakini haiendelei kuload tena msaada tafadhali
Kuload kivipi??
Kingroot inatabia ya kujirestart wakati wa kuroot so usikate tamaaa rudia rudia .kingroot ni nzuri kuroot kwa simu aina za samsung s4.hiyo tecno ungejaribu framaroot
 
Ebwana nashukuru kwa elimu nime elimika. Simu yangu ni H8501. kampuni ya halotel ni root kwa software gani?
 
Msaada ku root samsung a7
 
Umeelezea rooting samsung na huawei je kwa mi natumia LG G flex naweza kuroot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…