Maelezo ya ku- root Android phones

Maelezo ya ku- root Android phones

Natumia vodafone vf 685 msaada jins ya kuroot

Waheshimiwa mtusaidie jamani,mi nimejaribu na framaroot,kingroot,iRoot lakini bado nimeshindwa,natumia Viwa Max 5 android version 4.4.2 kit kat.
 
tumia root genius
 
Mimi nina Samsung GT-S5301. nawezaje kuiroot.?! Msaada tafadhari..
 
Vipi kuhusu Tecno H7. Maana huwa natamani sana kuroot simu ila mara ya kwanza niliuwa simu yangu huawei g610 kwa frama root.
 
samahani, msaada wa app ya kuroot samsung galaxy fame lite GT-S6790 android 4.1.2 Au naweza kutumia hizo hizo zilizoorodheshwa kama Root genius? kwa mwenye kujua anijuze tafadhali.

tumia hyo hyo root genius
 
Vp kuhusu NOKIA XL RM-1030 namna ya kuroot, Msaada tafadhali
 
Ok nimeroot simu yangu tecno h7 nikafanikiwa kwa app inayoitwa kingroot, baada ya hapo nikaona chenga tu ikabidi ni unroot.
 
chenga kivp? usiroot simu yako kama huna sababu ya kuroot utaona Chenga tu.
 
Waheshimiwa mtusaidie jamani,mi nimejaribu na framaroot,kingroot,iRoot lakini bado nimeshindwa,natumia Viwa Max 5 android version 4.4.2 kit kat.

Dah,Mi nimenyosha mikono yaani nimeshindwa,nimejaribu kila app imegoma kingroot,kingoroot,framaroot,root genious,na nyingine kibao jibu zinasema azi-support kifaa changu,natamni nii-root hii simu,VIWA MAX 5...
 
Waheshimiwa mtusaidie jamani,mi nimejaribu na framaroot,kingroot,iRoot lakini bado nimeshindwa,natumia Viwa Max 5 android version 4.4.2 kit kat.

Dah,Mi nimenyosha mikono yaani nimeshindwa,nimejaribu kila app imegoma kingroot,kingoroot,framaroot,root genious,na nyingine kibao jibu zinasema azi-support kifaa changu,natamani nii-root hii simu,VIWA MAX 5...
 
jaribu Cydia Impactor mkuu
 
Nahisi au naona nahitaji darasa kwanza kabla hilo zoezi aiseee.

Pole sana kiongozi,umefanya kitu cha hatari sana bila hata kukijua,hope ukisoma maelezo hapo juu utaelewa vizuri tu..
 
Back
Top Bottom