Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

Hizo pesa ziko wapi kwa sasa kama kiwanda hakijajengwa?

Somebody aliwazunguuka walibya?
 
Kwa kauli zake na maandishi yake ambaambayo nimewahi shuhudia kama zile kuwa ana maadui 11,aakishinda uraisi wakaishi Kenya,hhuwa nashangaa kuambiwa kuwa huyu jamaa ni TISS aliyetukuka ilihali weredi wake tu ni zero brain!!
 
Haha aisee hiyo inamaana kwamba 20 mil dollars zimeliwa
 
Hapa ndo najiuliza uhalali wa Zitto kuhoji vitu hivi na CCM wanajibu kana kwamba serikali ndo ilikuwa inawahoji wahusika.

Mbona serikali ilikuwa inapuuzia mambo yote waliyokuwa wanahoji wapinzani na leo wanajibu?

Kuna kitu hapa kinaanza kujidhihirisha.
Zitto aendelee kuhoji na sasa
 
CC: tindo njoo nikupime weledi wako wa mambo na uzalendo pia.

Duuu, naona umefukua kaburi, sijui unadhani mimi huwa nabadilika kirahisi hivyo sijitambui. Sijawahi kumshabikia Membe na wala sintokaa. Ukiona namshabikia ujue ni kinafiki ili alete mgogoro ndani ya ccm na sio tofauti na hivyo. Ukidhani nitamshabikia apate urais nchi hii utasubiri sana. Fukua nyuzi za zamani mpaka za hivi juzi kuhusu huyo Membe kisha nionyeshe nilipomkubali. Nina post za kutosha humu ndani.
 
Jambazi huyo hana jipya asitudanganye sisi hii karne ya 21 atuambie kilichomuondoa balozi wa libya na ni nan Alisain hiyo contract au anataka document ziletwe huku na share zake za icho kiwanda tulete huku membe asiwafanye watanzania wote wapumbavu Akae kmya tutamvua nguo
Mambo ya kuvuana nguo si mema lakini
 
Duuu, naona umefukua kaburi, sijui unadhani mimi huwa nabadilika kirahisi hivyo sijitambui. Sijawahi kumshabikia Membe na wala sintokaa. Ukiona namshabikia ujue ni kinafiki ili alete mgogoro ndani ya ccm na sio tofauti na hivyo. Ukidhani nitamshabikia apate urais nchi hii utasubiri sana. Fukua nyuzi za zamani mpaka za hivi juzi kuhusu huyo Membe kisha nionyeshe nilipomkubali. Nina post za kutosha humu ndani.
Nilikuwa nakupima weledi na uzalendo tu ila sio mambo ya "omo"
ha ha ha nakutambua kamanda mtiifu!
 
Nilikuwa nakupima weledi na uzalendo tu ila sio mambi ya "omo"
ha ha ha nakutambua kamanda mtiifu!


Mkuu niko vizuri na najua nilikanyaga wapi na sasa nakanyaga wapi.
 
Serikali ya Libya ilishasema kupitia kwa balozi wake(Alishakufa) kuwa haitakubali pesa hizo ziende kwenye hiyo kampuni ya MEIS, kwa kuwa ni kampuni hewa na mmiliki wake haswaa ni Benard Membe.
Hata sasa serikali ya Libya inadai ipewe pesa zake, na wazi Membe anatajwa kuzichukua.

Sasa Membe atujibu maswali haya:
1/MEIS ni wakina nani hasa? Ni watanzania? Ni walibya? Ni wachina? Ni wazungu nk? Ni kampuni iliyosajili wapi kwanza kabla ya kuja hapa Tanzania, imewahi kuwekeza wapi hapa duniani? Ina uzoefu gani katika sekta ya viwanda vya saruji?

2/Kiwanda kiko wapi Lindi? Ni vipi kikamilike December mwaka huubwakati hata vibali vya ujenzi wa uwekezaji havijawahi kutolewa?

3/Kwanini serikali ya Tanzania(Kupitia kwa Membe) ilishinikiza kwa nguvu kubwa sana na kwa haraka sana hizo Pesa zitoke TIB kupitia Local Accounts kwenda MEIS mara baada ya "Hukumu" ya mahakama wakati anajua fikra inaweza kuzaa mgogoro wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na Libya?

4/Kwanini Libya ikatae kutia saini mkataba wa kuipa mkopo MEIS na wakati ni Libya hiyo hiyo inadaiwa na Membe kuwa ndio iliteuliwa na Libya kabla kupewa mkopo huo?

5/Kwanini suala hili lilizaa vita vikali kati ya Membe na balozi wa Libya nchini Tanzania wakati ule kabla ya ?

6/Kwanini suala hili la uwekezaji wa kiwanda cha saruji liwe ni agenda binafsi kati ya Membe na serikali ya Libya ya wakati ule, na mara zote baraza la mawaziri lisihusishwe wala wadau wengine wa mkoa wa Lindi wakiwemo wabunge wengine, madiwani, wananchi wa Lindi nk?

7/Ni kwa namna gani serikali ya Tanzania ilijiridhisha kuwa MEIS ni kampuni yenye uwezo wa kupewa mkopo na kuweza kurejesha kwa ufanisi ili pesa hizo ziliendelee kuwanufaisha watanzania wengi zaidi katika uwekezaji mwingine baada ya mkopo kulipwa?
Alhaj una maswali chonganishi sana
 
Mkuu ,Membe mchongo huu haramu alishiriki na baadhi ya hawa watoa haki mahakamani,ndio ilichopelekea yule Balozi wa Libya kupoteza uhai kwenye Mazingira yenye utata mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom