Maelezo ya adobe photoshop

Maelezo ya adobe photoshop

inezzle

Member
Joined
Oct 26, 2016
Posts
23
Reaction score
5
Habar ndg zng,samahan naomba maelezo jinsi ya kutumia hii program coz nmejarbu kufuatilia jinsi ya kutumia lkn bdo kiza kmetawala!
Natanguliza shukrani
 
Jaribu kuangalia tutorials za namna ya kuitumia YouTube utakua mnoma sana
 
Habar ndg zng,samahan naomba maelezo jinsi ya kutumia hii program coz nmejarbu kufuatilia jinsi ya kutumia lkn bdo kiza kmetawala!
Natanguliza shukrani
Hii kitu inahitaji uvumilivu na kuitumia taratibu kwa kufata tutorial, otherwise utaona giza tu
 
Ni photoshop touch au ipi... Cheki YouTube na u subscribe tutorials zao
 
Hii nenda polepole yan anza kwa kuangalia tutorials kwnza youtube af ukfikia hatua unakua unapause af unajarib na wewe kaka kwenye video...ndivyo nlivyojifunza mimi
 
Back
Top Bottom