Maelekezo ya kujiunga kidato cha kwanza

Maelekezo ya kujiunga kidato cha kwanza

mgunda1990

Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
73
Reaction score
4
Heshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran
 
Kuna hii hapa ya kidato cha tano katika shule ya msalato. Ingawa maelekezo yanaweza kutofautiana na o'level lakini angalau unaweza kupata cha kuanzia... Pia kuna namba za simu kwa mawasiliano
namba ipo wap
 
Back
Top Bottom