mgunda1990
Member
- Jul 19, 2012
- 73
- 4
Heshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran
Kuna hii hapa ya kidato cha tano katika shule ya msalato. Ingawa maelekezo yanaweza kutofautiana na o'level lakini angalau unaweza kupata cha kuanzia... Pia kuna namba za simu kwa mawasilianoHeshima zenu wakuu..naomba mwenye joining instructions msalato anitumie kama softcopy au hardcopy piga picha..natanguliza shukran
namba ipo wapKuna hii hapa ya kidato cha tano katika shule ya msalato. Ingawa maelekezo yanaweza kutofautiana na o'level lakini angalau unaweza kupata cha kuanzia... Pia kuna namba za simu kwa mawasiliano