kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,236 Reaction score 4,989 Jun 21, 2013 #21 Sio wahindi tu hata hapa nchini uliza wanaofanya kazi kwa hawa raia wa kigeni wanavyodharirishwa na kutukanwa ovyo. Umaskini sio aibu ila unauma sana
Sio wahindi tu hata hapa nchini uliza wanaofanya kazi kwa hawa raia wa kigeni wanavyodharirishwa na kutukanwa ovyo. Umaskini sio aibu ila unauma sana
naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,093 Jun 21, 2013 #22 kuna wapuuzi wana ajiriwa kama HR ndo huwa wanachezea deal za uhamiaj na kuwabeba wakiwabagua wabongo wenzao
kuna wapuuzi wana ajiriwa kama HR ndo huwa wanachezea deal za uhamiaj na kuwabeba wakiwabagua wabongo wenzao
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,173 Reaction score 11,620 Jun 21, 2013 #23 rushanju said: We Kahtan we mhindi. Sasa ona unabagua watanzania kwenye nchi yao na unatuita wanyarwanda. Click to expand... mimi sio muhindi lakini , sisi watanzania hatuna tabia ya kutishiana maisha! ni wahutu ndio wenye tabioa hizo! ndo maana nikamwita huyo , mnyaruanda
rushanju said: We Kahtan we mhindi. Sasa ona unabagua watanzania kwenye nchi yao na unatuita wanyarwanda. Click to expand... mimi sio muhindi lakini , sisi watanzania hatuna tabia ya kutishiana maisha! ni wahutu ndio wenye tabioa hizo! ndo maana nikamwita huyo , mnyaruanda
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,173 Reaction score 11,620 Jun 24, 2013 #24 ThinkPad said: Wahindi watakuthamini iwapo tu unauwezo flani ambao wanakutegemea hilo tu. Click to expand... Umesema kweli! Nakupa Heko!
ThinkPad said: Wahindi watakuthamini iwapo tu unauwezo flani ambao wanakutegemea hilo tu. Click to expand... Umesema kweli! Nakupa Heko!