Maduka ya wahindi yashambuliwa

Maduka ya wahindi yashambuliwa

ThinkPad

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
1,844
Reaction score
236
Maduka yanayomilikiwa na wahindi yamevamiwa katika mashambulizi mjini Kinshasa DRC baada ya kukamatwa kwa wanafunzi wakongomani nchini India.Mwandishi wa BBC mjini Kinshasa anasema kuwa raia mmoja mhindi alijeruhiwa katika ghasia hizo na anatibiwa hospitalini.

Taarifa zinazohusiana

drcWaandamanaji walighadhabishwa na hatua ya kukamatwa kwa wanafunzi 21 mjini Jalandhar, Kaskazini mwa India.Kuna visa vya kutofautiana kuhusu sababu za kukamatwa kwa wanafunzi hao na kumekuwa na madai kuwa polisi wamewadhulumu.

Lakini balozi wa India katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, Ram Manohar, aliambia BBC, kuwa polisi hawakuwadulumu wanafunzi hao, lakini wakasema kuwa kulikuwa na vurugu wakati wa maandamano.Aliongeza kuwa wanafunzi hao waliachiliwa Jumatano nyakati za mchana.

Naibu waziri wa mambo ya nje wa DR Congo, alitoa ombi kuwa wanafunzi hao waachiliwe mara moja.Maafisa wa utawala pia walitaka wanafunzi hao watibiwe kufuatia madai kuwa waliteswa walipozuiliwa.Mapema taarifa za vyombo vya habari zilisema kuwa wanafunzi hao walijaribu kujitoa uhai.Mwandishi wa BBC, Emmanuel Derville mjini Delhi, anasema kuwa wengi wa wanafunzi hao, waliozuiliwa wanatoka Kinshasa, na wako nchini humo kusomea uhandisi na masomo ya biashara kwa miaka miwili iliyopita.

Kulingana na Polisi, wanafunzi hao walikamatwa baada ya kuzuka kwa mapigano kati ya makundi hasimu ya wakongomani baada ya kuzuka mapigano katika kituo cha basimjini Jalandhar Jumamosi mchana.Naibu wa polisi mjini Jalandhar, alisema kuwa wanafunzi hao walimpokonya mkoba wake mwathiriwa mmoja.Lakini wanafunzi hao walisema kuwa purukushani lilianza baada ya mwanafunzi mmoja nusura kugongwa na basiBaadaye alichapwa kwa bakora katika kile kilichoonekana kama shambulizi la ubaguzi wa rangi.

sosi: bbc
 
ni vizuri serikali ya DRC ifuatilie vizuri hao vijana walioko India kuhakikisha wanakuwa salama.
 
Juz nilikuwa sehem moja kijijini. Kuna wahindi walikuja kuchimba visima vya kampuni flan. Baada ya kazi walikuja tulipo kaa sisi na kuanza kututukana kwa ligha yao. Uzuri rafiki yangu alikuwa anakijua kwan alishakaa india miaka sita. Kusema la ukwel wale wahindi walipojua jamaa anajua kihindi walichanganyikiwa na kazi wakaiacha na kukimbia. Wenzetu ni wabaguzi sana aisee
 
Yule mbongo aliye uliwa kikatili india serekali ya Tz ilimaliza vp au ndio kila Rai abebe msalaba wake mwenyewe.
SISI WATANZANIA HATUNAGA UBAGUZI WALA HATUWEZI KUWA NAO KAMA WAO WANAKULA MIOGO COCO BEACH KAMA WAPO KWA MAMA YAO .
 
Safi sana Wacongomani, hata hapa Tz tunatakiwa tuwachape hawa magabachol... Mmeonyesha mfano wa kuigwa...
 
Yule mbongo aliye uliwa kikatili india serekali ya Tz ilimaliza vp au ndio kila Rai abebe msalaba wake mwenyewe.
SISI WATANZANIA HATUNAGA UBAGUZI WALA HATUWEZI KUWA NAO KAMA WAO WANAKULA MIOGO COCO BEACH KAMA uWAPO KWA MAMA YAO .PALE NADHANI SEREKALI ILIWAUZIA KIMYA KIMYA COZ NI WAWEKEZAJI KWAPALE WANA WAPATIA AJIRA WA TZ KWA KULA MIOGO
 
Juz nilikuwa sehem moja kijijini. Kuna wahindi walikuja kuchimba visima vya kampuni flan. Baada ya kazi walikuja tulipo kaa sisi na kuanza kututukana kwa ligha yao. Uzuri rafiki yangu alikuwa anakijua kwan alishakaa india miaka sita. Kusema la ukwel wale wahindi walipojua jamaa anajua kihindi walichanganyikiwa na kazi wakaiacha na kukimbia. Wenzetu ni wabaguzi sana aisee

kwa nini mliwaachia si mngewafanya vibaya
 
Jalandhar....mabasi yanafujo sana aiseee hao kama sio wanafunzi wa LPU
 
duu hii hapa bongo bado sana maana ni wazee wa kila kitu poa..
 
Wahindi dawa yao unawaonyeshea msimamo tokea day one wanakuheshimu lakini ukilegea unaweza ukashinda unawafulia mpaka chupi zao muda wa ofisi.Washenzi sana hawa wahindi, mimi mwenyewe natamani sana enzi za Idd Amin zitokee Tanzania tuchukue maduka yao hawa wala pilipili
 
babu mbona too much hate sio wote wabaya!
 
Wahindi watakuthamini iwapo tu unauwezo flani ambao wanakutegemea hilo tu.
 
India ipo ktk top 10 ya nchi zenye ubaguzi mkubwa, nchini kwao wanabaguana ata wao kwa wao.
 
Wahindi dawa yao unawaonyeshea msimamo tokea day one wanakuheshimu lakini ukilegea unaweza ukashinda unawafulia mpaka chupi zao muda wa ofisi.Washenzi sana hawa wahindi, mimi mwenyewe natamani sana enzi za Idd Amin zitokee Tanzania tuchukue maduka yao hawa wala pilipili

Nyie ndio mtakao tuharibia nchi! Rudi kwenu rwanda!
 
Ukimgusa mhindi usishangae likawa ni tatizo la kidini zaidi ya ubaguzi wa rangi
 
Nyie ndio mtakao tuharibia nchi! Rudi kwenu rwanda!

Kweli akutukanae hakuchagulii tusi, of all the country umenichagulia Rwanda kweli,bora kunitajia nchi nyingine and not Rwanda - hell
 
Back
Top Bottom