Uswiss
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 842
- 2,160
Habari wakuu.
Ni maeneo gan mjini dar es salaam nitapata maduka ya nguo nzuri za kiume ukitoa kariakoo(pananichanganyaga nashindwa kupaelewa). Yaani jeans kali na tshart zenye quality nzuri kwa bei ya kawaida mfano jeans isizidi 30,000 na tshirt isizidi 20,000 ziwe special au mtumba..
Japokua napendelea mitumba zaidi ile ya grade one.. Kwa anaejua machimbo hapa mjini dar es salaam naomba muongozo tafadhari .
Asante.