Madudu ya wageni/tigo&huawei kufanya kazi zamu za usiku

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,344
3,608
Hiii haikubaliki ߘ
Baada ya wazuri wa wizara husika kutangaza Kwamba ukaguz wa vibali vya kazi unaanza
Leo wachina(Huawei hapa tigo office-HQ) wamekuja watatu tu (3), only threeeee, yaani 1,2,3.. Out of 70 waliopo tigo MS project

na inasadikika karibu wote wana vibali vya utalii!

Hii haikubaliki

Anaejuana na watu wa uhamiaji aseme neno kuhusu hili swala, na inasadikika hawa wachina wanakuja kazini kuanzia sa tatu usiku (watu wa night shift wametuthibitishia hili) Najua kuna wataonishtaki humu lakin siogopi ߘtumewachoka kuanzia upumbavu wao wa kutunyonya mpaka kupeana mashavu na kutulazimisha tuwafundishe kazi!!
 
Have u ever imagine wachina wanatolewa kwao hawajui kitu besides hawajasomea telecom wala engineering wanakuja kupewa vitengo as managers au engineers then unalazimishwa uwafundishe kazi while wanalipwa four /six times your salary?
 
Wanajiita wachapa kazi kumbe hawajui lolote kuna kipindi nilikuwa field katika kitengo cha kuunganisha mabomba kwa kitumia machine sisi ndo tulikuwa wachapa kazi wao walikuwa wanachat tu
 
Haya sindo enzi za ukoloni mkuuu
 
Wanajiita wachapa kazi kumbe hawajui lolote kuna kipindi nilikuwa field katika kitengo cha kuunganisha mabomba kwa kitumia machine sisi ndo tulikuwa wachapa kazi wao walikuwa wanachat tu
leo wachina na wahindi wanatunyanyasa kwetu...,,,...nchi isimame katika nafasi yake metosha aaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
 
Tunafanya kazi ngumu malipo kidogo sana alafu mingine inayotuua ni mitanzania mienzetu inaandikisha kazi na michina kuwa macontractor kwa bei nzuri wakifika kwetu wanapunguza hadi buku tano kwa siku
 
Hiii haikubaliki ߘ
Baada ya wazuri wa wizara husika kutangaza Kwamba ukaguz wa vibali vya kazi unaanza
Leo wachina(Huawei hapa tigo office-HQ) wamekuja watatu tu (3), only threeeee, yaani 1,2,3.. Out of 70 waliopo tigo MS project

na inasadikika karibu wote wana vibali vya utalii!

Hii haikubaliki

Anaejuana na watu wa uhamiaji aseme neno kuhusu hili swala, na inasadikika hawa wachina wanakuja kazini kuanzia sa tatu usiku (watu wa night shift wametuthibitishia hili) Najua kuna wataonishtaki humu lakin siogopi ߘtumewachoka kuanzia upumbavu wao wa kutunyonya mpaka kupeana mashavu na kutulazimisha tuwafundishe kazi!!
Bila kupata mawasilianao ya Mavunde direct itaendelea hivi-hivi.
 
Tunafanya kazi ngumu malipo kidogo sana alafu mingine inayotuua ni mitanzania mienzetu inaandikisha kazi na michina kuwa macontractor kwa bei nzuri wakifika kwetu wanapunguza hadi buku tano kwa siku
Uko sahihi sana mkuu
Kwa mfano pale kuna jamaa anaitwa frank mlaki alikuaga tigo zamani so now yupo Huawei kwaajili ya kublock penalti so anabuni mbinu zote za kumdanganya boss(tigo) kuanzia udalali wa hzo kazi mpaka kuwanyonya mishahara na vitu vingine maengineer
Yaan kuna Madudu mpaka inakera
 
Hao wanaowatafuta wanaofanya kazi bila vibali wasichelewe kuja migoni. Kuna wanaojiita wataalamu kumbe kazi zao ni kusukuma matoroli ya mizigo kwenye airstrip za migodi.
 
Hiii haikubaliki ߘ
Baada ya wazuri wa wizara husika kutangaza Kwamba ukaguz wa vibali vya kazi unaanza
Leo wachina(Huawei hapa tigo office-HQ) wamekuja watatu tu (3), only threeeee, yaani 1,2,3.. Out of 70 waliopo tigo MS project

na inasadikika karibu wote wana vibali vya utalii!

Hii haikubaliki

Anaejuana na watu wa uhamiaji aseme neno kuhusu hili swala, na inasadikika hawa wachina wanakuja kazini kuanzia sa tatu usiku (watu wa night shift wametuthibitishia hili) Najua kuna wataonishtaki humu lakin siogopi ߘtumewachoka kuanzia upumbavu wao wa kutunyonya mpaka kupeana mashavu na kutulazimisha tuwafundishe kazi!!

HAYA WAMESIKIA KILIO HIKI, TUSUBIRI WASAFISHE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom