Madudu ya St John university tcu mnayajua?

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Napenda kuuliza hivi inawezekana kusomea diploma ukiwa na form 4 ya 29? Maana hapa dodoma st john inatoa diploma kwa 4 ya 29, sasa sijui ni utapeli baadae wakati wa kuhitimu yatokee magumashi kuwa hawana sifa.
 
Back
Top Bottom