MADUDU mengine ya Mali asili na Utalii

Jamani wala msiende mbali Kama huyu Presidaa alibariki wezi wa EPA kwa kuwataka na kuwapa muda warudishe narudia tena warudishe pesa walizokwiba bila mashtaka, mnadhani kuna mtu ataogopa kuiba? hii li Serikali la Chama cha MAGAMBA ndilo limeleta shida yote ktk nchi hii!! wamebariki wizi!!
 
naipenda nchi yangu naipenda tanzania lakini kweli tunashindwa kuendelea kwa ujinga wala si kwa resources maana wizi, uhuni, njia za mkato ni nyingi sana kwa nchi yetu tunahitaji utajiri wa kuamuka asubuhi jioni uko tajiri tena wakufuru,. Mungu tupe njia mwaafaka ya kuokoa mali zetu zinazoibiwa kila siku.
 
Back
Top Bottom