Tulipokuwa tunapiga kelele humu hayo usaili usifike katani uishie NBS kuna watu wakawa wanaona tuna chuki na watendaji na Halmashauri, ninajua mengi Sana yanayofanyika Serikali za mitaa ila tunakaa kimya.
Mimi Sina Cha kukuhurumia kwa Sababu inawezekana nawe uliamini katika connection