Madonna has crossed the line big time

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Huyu bibie jana kwenye women march alitishia kwa kutoa comment za ku blow white house.
“I have thought an awful lot about blowing up the White House,”
sijui kwanini nimemuonea huruma, maana ikizingatia sasa hivi The Don Donald Trump ni Rais, nahisi kabisa huyu mwanamama anaenda kupotezwa mda si mrefu maana inasemekana sasa FBI, CIA, na Secret Service wanamfatilia. Nadhani huu mwezi haupiti lazima tusikie kitu na Trump asivopenda wanawake lazima huyu celeb awe wa mfano.
 
wajinga wapo wengi duniani kwa hiyo atampuuza tu kwasababu mheshimiwa
ana vitu vingi vya kudeal navyo kwa ajili ya
USA
bibie alikuwa anatafuta kick
 
Back
Top Bottom