antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,413
- 134,168
Makao makuu ya mashoga yanajulikana..Hatuendi mbali sana
Hawa nyumbani na nchi jirani tena ni wachungaji wa kigalatia
View: https://www.youtube.com/watch?v=3VvSveYAHxQ
View attachment 3010279
View attachment 3010276
View attachment 3010273
Tulia broo,..angebaki pakistani angeshwa chomwa moto zamani
Kwanza hapa sio Zanzibar,
Pili hapa sio msikitini, ni machoko wametengeneza hii ionekane kama wako msikitini, na dhumuni la hii video ni kupinga huu ushenzi kama unavyomuona huyo Ustaadhi wa kimataifa.Tulia broo,
Kwa taarifa yako waislamu wa Pakistan huko wanafunga ndoa za mashoga ndani ya misikiti kabisa.
Hilo janga limeenea mnoo
View: https://youtu.be/vs1uhi6_dI4?si=x4mGYCGOTCyJmgVa
Watu washatoa masega ni kupakua tope tu sasaHahaha ndio ivyo tena
Inaumiza sana aisee😡Mbona ni shoga siku nyingi kuna uzi wake humu.....
Linakuaje janga na wakati Ni suala binafsi?Tulia broo,
Kwa taarifa yako waislamu wa Pakistan huko wanafunga ndoa za mashoga ndani ya misikiti kabisa.
Hilo janga limeenea mnoo
View: https://youtu.be/vs1uhi6_dI4?si=x4mGYCGOTCyJmgVa
Sasa msagaji atamlinda vipi mtoto asiwe upindeMnasema dogo ni upinde? Ina maana kukua kwake huyu mama aliyemuasili alimfundisha awe hivyo?
Hebu fafanua kwa udanii, sijakuelewa vizuri.Baadhi ya wazazi kuwa wavivu ndiyo husababisha yote haya.
Yaani shoga mweusi,hata haeleweki kwanza sura ngumu ni vile wanajilazimisha kuendana na hao wendawazimu weupe but appearance ya mtu black na mentality za kishoga ni maji na mafuta