Madokta walikataa kunywa Juice


mkuu bora uamini mungu yupo kuliko siku ya mwisho ukamkuta cha moto utakiona ..ma dk waliamua kusoma nyakati wakaamini ya mwakyembe yanawafwata na hata chakula waliambiwa wakapukuliwe wakasema wataenda wenyewe watangilizwe a mh rais kwanza ...mmoja akasema mh atapakuliwa wakasema watampakulia else awaamki ndio mkulu akaongoza jahazi ila yalimtokea hatosahau siku anaingia kaburini
loh..m nasema hata mkiitwa wizarani msionje hata karanga jamani
 
kama ni hivyo basi next time wawe makini hata na makochi maana yanaweza kuwa zaidi ya juice

eheee yamaanisha wanaweza kukalia kigoda bila kusikia kinaingia ama sijakuelewa mpwa
mmh hiyo mbinu mpya
 
Kilaza kweli wewe, watu wanapanga mipango ya kununua nchi we unaongelea ushawishi wa kukaa siku nne?
 
Kilaza kweli wewe, watu wanapanga mipango ya kununua nchi we unaongelea ushawishi wa kukaa siku nne?

"You're either with us or you are against us" - George Bush to the world.
 

Mkuu peleka tu CV yako nawe ualikwe
 
Daah bora wamekataa maana wangekunywa ingefuata supu ya pweza hapo ndipo ingekuwa kushney!
 
nilikuwa sijui kama hata kwa baba yetu hakuaminiki je kwa mama kuko salama?????????? nafikiri kuna kila sabab ya mkuu kujiuliza maswali magumu na kuyapatia majibu
 

Hapo kwenye red nafikiri hao wanatumia akili mu kichwa!
 
Sasa mnatufanya tukienda ofisi yoyote ya serikali tukauke nakiu yetu!Namna hii,balaaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…