Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Kuoa single mother nikujitafutia complications ambazo zinaweza kuepukikaWana kamsemo kao eti awali ni awali tu hakunaga awali mbovu
Kuoa single mother nikujitafutia complications ambazo zinaweza kuepukikaWana kamsemo kao eti awali ni awali tu hakunaga awali mbovu
Single mother wanajilengesha sana,hakuna mwanamke mrahisi kumpata kama single motherAh wapi, nyege zenu tu
Sasa ukute huyo mwanamke ni single mother utajuta kudate single mother,aisee kuoa single mother ni sawa na kubeba gunia la misumari afu umenyoa upara
Tupe mkasa huo mkuu, natanguliza shukraniEnzi hizo nilikutana na bint niliyesoma nae msingi,nilimkuta na mtoto 1 wakiume,daaahh sikujua aliye mzalisha kwanini alimuacha nikaparamia nakujifanya baba bora,nikalea na nikamzalisha namimi kidume kingine,yaliyonikuta siri yangu,sema nikajua kwanini mwenzangu aliacha lilebalaa,basi namimi nikasepaaaaaa,ila anabahati amepata bwana mwingine na amezalishwa tena,kwahiyo mpaka sasa bint anawatoto 3 baba tofauti.
Sasa nani ana matatizo hapo Kama sio wewe unaepagawa nae? Nini hasa mnalalamika Kama mnapata mnachokitaka?Single mother wanajilengesha sana,hakuna mwanamke mrahisi kumpata kama single mother
Mapenzi Ni game inayom-favor sana mwanaume kuliko mwanamke hivo basi mwanamke lazima awe mjanja sana kucheza hii game...
Mwanamke kuwa na mtoto Ni heshima kubwa sana lakini pia Ni dharau kubwa sana machoni pa Mwanaume.Huu Ni mtazamo wa wanaume wengi sana sana katika jamii yetu ..
Heshima kubwa Ni kama amezaa ndani ya ndoa,akizaa nje ya ndoa yaani sijui inakuwaje ila automatic tu unaonekana kituko machoni pa wanaume wengi,Cha ajabu mwanamke anaweza lala hata na wanaume [emoji817] lkn kisa hajashika mimba au ameshika akatoa basi anaonekana Bora Zaid ya yule ambaye hajawahi hata kufikish watano ila akapata mimba.
Hii Ni game ngumu sana,women should learn to play safe.Thamani ya mwanamke aliyezaa sio kwamba imeshuka ila machoni pa opposite sex inaonekana imeshuka..Ni kama mwanaume ukiwa huna hela wala future,sio kwamba huna thamani ila machoni pa wanawake wengi unaonekana kituko sio kosa la mwanamke kukuona kituko Wala sio kosa mwanaume kumuona mwanamke kituko, again it's game [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Play safe.
Ukiwa na bahati ndo utapata wanaume wachache wenye fantasy zao zakupenda majimama very few men tena wengi wao hawana mbele wala nyuma.

Hivi hili neno 'single mother' tafsiri sahihibya kiswahili ni nini? Amezaa njee ya ndoa, mtoto hana baba kabisa (ubin), ana baba ila hawakai pamoja...mwenye uelewa tafadhali !
Kuna mmoja nilikuwa namsomesha mtoto wake,nimemtoa mtoto kayumba nikawa namlipia ada English medium 1.9 million,nikajikuta na mimi baba bora,sasa Kuna siku kuna mwanangu mmoja alipata kesi,nikamsaidia 20 million na ndo nilikuwa nayo hiyo hiyo,na huyo jamaa ni mwanangu sanaaa ameshanisaidia mambo mengi mnoo, amekuwa ni dalali mzuri sana kwangu,likitokea dili tu fasta ananipigia,sasa demu akakasirika kisa nimechelewa kulipa ada kwa siku tatu dogo yupo home tu,maana hela niliyomsaidia huyo jamaa yangu ndo nilipanga nitachomoa million moja nilimpie ada mtoto wake,yeye akaninunia eti namjali jamaa yangu kuliko mtoto wake,ohoooo!!!! Nilimwacha kwenye mataa hakuamini,nikaamsha sikulipa ada na kodi ya nyumba akafukuzwa pumbavuuu sana,haya mambo ya kusaidia saidia watu mwisho mtu utaonekana bwege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto siyo wako afu anasema nampenda sana mtoto wangu kuliko kitu chochote
aaaa!!!! wapiii???Bro. We nawenzako sindiyo mliwamwagia uji wa moto kwenye kinu? Mimba llipoonekana mkakimbia sasa sisi tunafuta lawama.
Vijana endeleeni na kazi ya kuwapunguza hawa wanawake, tena wengi warembo tu kuliko hao ambao hawajazaa watoto!
Aluta continua. Mapambano.
My assumption:
Kuishi na single mother ni kipimo cha ukomavu wa akili ya mwanaume!
Ana matatizo anayejilengeshaSasa nani ana matatizo hapo Kama sio wewe unaepagawa nae? Nini hasa mnalalamika Kama mnapata mnachokitaka?
Lengo si kuwakejeli watu hao bali ni kisa tu kama visa vingine. Kuna nyuzi za madogo wa 26> ages wamedata sana kwa single mothers.
Back to the story;
Nina mdogo wangu mmoja ana miaka 24, na anapiga boda boda. Toka abarehe hajawahi kuopoa videm vya level zake,yeye ni mitandam tu kwa kigezo cha ghalama na upatikanaji ( cost and availability). Mwaka Jana nilikutana nae na nikamshauri achane na watu waliomzidi umri na atafute wa chini yake (17 - 20),akakubali.
Hakubadili msimamo akawa anatembea na masingle mother wenye watoto 2,3,4 na akipata mwenye mtoto 1 atajisifu kama kapata bikra.
Juzi kati alinambia bro nimepata kitu kikali na nitakileta ukione. Wakaja home dogo na shem, nikaandaa msosi wanguvu, na nilifurahi sana. Sifa za Shem ni white, short chases na churalized woman. Nikamkubali dogo kwa uchaguzi alioufanya.
Jana nimekaa na wife nikawa namsifu dogo kwa uchaguzi mzuri na kuachana na masingle mother. Aisee wife alinicheka mpaka akanikera, baadae akanambia "kazi zako zinaluweka mbali na jamii". Akaendelea kwa kusema kuwa yule binti anamjua na anawatoto 4!! Ila umbo ndo linambeba. Nikamtafuta sister nae kanipa the same Info's.
Agghh aisee hali niliyonayo huyu dogo lazima anirudishie hela niliyotumia kumpongeza. Nilipokuwa nae kabla nilimshauri amuoe kabisa yule dada ila kwasasa mhhh!
Akioa hapo huyo hata handicap inagoma, 1 × 2 ni 0 - 4 kabla ya mechi. Nimeshamwambia kuwa lazima arudishe hela yangu sitaki upuuzi mimi.
Ana matatizo yule anayetambua kabisa kuwa single maza anajilengesha akashawishika kwa nyege zake hlf baadae akaanza kulalamika.Ana matatizo anayejilengesha
Kusema haifai kuoa single mother ni tatizo??? Ni sawa na nyie mnavyosema siwezi kuolewa na mwanaume asiye na pesaAna matatizo yule anayetambua kabisa kuwa single maza anajilengesha akashawishika kwa nyege zake hlf baadae akaanza kulalamika.
Sio tatizo kabisa. Na pia sio tatizo Kama utaamua kuoa endapo utampenda sio uone kabisa anajilengesha hlf unaingia mzima mzima lazima akutende tu.Kusema haifai kuoa single mother ni tatizo??? Ni sawa na nyie mnavyosema siwezi kuolewa na mwanaume asiye na pesa
😀😀 Shangaa weweTatizo ni moja tu, wanaolalamika sio single mothers ila ni wanaume wenzangu!
Kuna shida somewhere!
Single moms wengi hawajielewi. Nashauri vijana muwapige miti tu ila sio kuwaoa, waliowapa mimba walishindwa nini kuwaoa?
Wapigeni miti muwaongezee mawazo tu. Akijileta piga miti siku moja alafu mchinjie baharini.
Wengi wao ni wale wamewakataa wanaume wa maana wa kuwaoa, wakaenda kwa wanaume wanaowataka wao, sasa waliwataka wao wenyewe, wabebane na hiyo misala.