Mapenzi Ni game inayom-favor sana mwanaume kuliko mwanamke hivo basi mwanamke lazima awe mjanja sana kucheza hii game...
Mwanamke kuwa na mtoto Ni heshima kubwa sana lakini pia Ni dharau kubwa sana machoni pa Mwanaume.Huu Ni mtazamo wa wanaume wengi sana sana katika jamii yetu ..
Heshima kubwa Ni kama amezaa ndani ya ndoa,akizaa nje ya ndoa yaani sijui inakuwaje ila automatic tu unaonekana kituko machoni pa wanaume wengi,Cha ajabu mwanamke anaweza lala hata na wanaume [emoji817] lkn kisa hajashika mimba au ameshika akatoa basi anaonekana Bora Zaid ya yule ambaye hajawahi hata kufikish watano ila akapata mimba.
Hii Ni game ngumu sana,women should learn to play safe.Thamani ya mwanamke aliyezaa sio kwamba imeshuka ila machoni pa opposite sex inaonekana imeshuka..Ni kama mwanaume ukiwa huna hela wala future,sio kwamba huna thamani ila machoni pa wanawake wengi unaonekana kituko sio kosa la mwanamke kukuona kituko Wala sio kosa mwanaume kumuona mwanamke kituko, again it's game [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Play safe.
Ukiwa na bahati ndo utapata wanaume wachache wenye fantasy zao zakupenda majimama very few men tena wengi wao hawana mbele wala nyuma.
Wakati mwingine anakuambia kabisa kuwa nampenda sana mwanangu kuliko kitu chochote.
Okay mi sijaelewa tatizo ni lipi, kwamba atakuwa anahudumia hao watoto ama?Lengo si kuwakejeli watu hao bali ni kisa tu kama visa vingine. Kuna nyuzi za madogo wa 26> ages wamedata sana kwa single mothers.
Back to the story;
Nina mdogo wangu mmoja ana miaka 24, na anapiga boda boda. Toka abarehe hajawahi kuopoa videm vya level zake,yeye ni mitandam tu kwa kigezo cha ghalama na upatikanaji ( cost and availability). Mwaka Jana nilikutana nae na nikamshauri achane na watu waliomzidi umri na atafute wa chini yake (17 - 20),akakubali.
Hakubadili msimamo akawa anatembea na masingle mother wenye watoto 2,3,4 na akipata mwenye mtoto 1 atajisifu kama kapata bikra.
Juzi kati alinambia bro nimepata kitu kikali na nitakileta ukione. Wakaja home dogo na shem, nikaandaa msosi wanguvu, na nilifurahi sana. Sifa za Shem ni white, short chases na churalized woman. Nikamkubali dogo kwa uchaguzi alioufanya.
Jana nimekaa na wife nikawa namsifu dogo kwa uchaguzi mzuri na kuachana na masingle mother. Aisee wife alinicheka mpaka akanikera, baadae akanambia "kazi zako zinaluweka mbali na jamii". Akaendelea kwa kusema kuwa yule binti anamjua na anawatoto 4!! Ila umbo ndo linambeba. Nikamtafuta sister nae kanipa the same Info's.
Agghh aisee hali niliyonayo huyu dogo lazima anirudishie hela niliyotumia kumpongeza. Nilipokuwa nae kabla nilimshauri amuoe kabisa yule dada ila kwasasa mhhh!
Akioa hapo huyo hata handicap inagoma, 1 × 2 ni 0 - 4 kabla ya mechi. Nimeshamwambia kuwa lazima arudishe hela yangu sitaki upuuzi mimi.
Tukisema wanawake wasiolewe na wanaume waliozalisha watoto nje ya ndoa kwakuwa hawajielewi and not responsible itakuwa ni sawa piaSingle moms wengi hawajielewi. Nashauri vijana muwapige miti tu ila sio kuwaoa, waliowapa mimba walishindwa nini kuwaoa?
Wapigeni miti muwaongezee mawazo tu. Akijileta piga miti siku moja alafu mchinjie baharini.
Wengi wao ni wale wamewakataa wanaume wa maana wa kuwaoa, wakaenda kwa wanaume wanaowataka wao, sasa waliwataka wao wenyewe, wabebane na hiyo misala.
Ha haaaa sanaaa 😂Wanajiashua tu[emoji57], tena vinalilia uvizalie
Ujue Single maza wengi ndo wenye penzi tamu kutokana na viuno vyao kuwa flexible, we lala na binti ambaye hajaza na yule ambaye meshazaa katika age sawa utaona utofauti, na ndo maana vijana wanapewa mambo mazuri hawatoki huko.Single moms wengi hawajielewi. Nashauri vijana muwapige miti tu ila sio kuwaoa, waliowapa mimba walishindwa nini kuwaoa?
Wapigeni miti muwaongezee mawazo tu. Akijileta piga miti siku moja alafu mchinjie baharini.
Wengi wao ni wale wamewakataa wanaume wa maana wa kuwaoa, wakaenda kwa wanaume wanaowataka wao, sasa waliwataka wao wenyewe, wabebane na hiyo misala.
Single mother ni mama aliyezaa halafu mzazi mwenzake haishi nae kwa sababu mwanaume hakumuoa au sababu nyinginezo. Heri single mother kuliko aliyetoa mimba zisizo na hesabu. Kuwa single mother sio kosa wala sifa mbaya, labda mama hiyo awe na tabia mbaya kwa asili kama walivyo binadamu yeyote . Wapo single mother walioolewa na wakajenga miji vizuri. Lakini ni nadra kukuta msichana aliyetoa mimba kadhaa kuona akawa mke mwema .Hivi hili neno 'single mother' tafsiri sahihibya kiswahili ni nini? Amezaa njee ya ndoa, mtoto hana baba kabisa (ubin), ana baba ila hawakai pamoja...mwenye uelewa tafadhali !
Vigezo ganiWatoto 4?
Mbaya zaidi kama aliwazaa kwa baba tofauti lazima mdogo wako apate pressure.
Kiukweli huwa nawapenda single motherz ila awe na mtoto mmoja na kwa vigezo na masharti vizingatiwe.
Umewashauri kuwapiga miti,vipi kuwazalisha je?? Au na hiyo ni marufuku??Single moms wengi hawajielewi. Nashauri vijana muwapige miti tu ila sio kuwaoa, waliowapa mimba walishindwa nini kuwaoa?
Wapigeni miti muwaongezee mawazo tu. Akijileta piga miti siku moja alafu mchinjie baharini.
Wengi wao ni wale wamewakataa wanaume wa maana wa kuwaoa, wakaenda kwa wanaume wanaowataka wao, sasa waliwataka wao wenyewe, wabebane na hiyo misala.
[emoji16][emoji16][emoji16] inaonekana una uzoefu nao sanaMasingle mama wanaboa tu kwa kuona mtoto alie nae ana thamani kuzidi ww uliempenda kila mara anakutajia mwanae mwanae wanakera sana alaf ukimuacha anaanza lawama
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inaonekana una uzoefu nao sanaWakati mwingine anakuambia kabisa kuwa nampenda sana mwanangu kuliko kitu chochote.
Wakati mwingine anakuambia kabisa kuwa nampenda sana mwanangu kuliko kitu chochotnn
Mmmhh!!! SijuiWanajiashua tu[emoji57], tena vinalilia uvizalie
Wakisema wakina nani?? Hapa wanaosema ni wakina nani??Tukisema wanawake wasiolewe na wanaume waliozalisha watoto nje ya ndoa kwakuwa hawajielewi and not responsible itakuwa ni sawa pia
Kuoa single mother ni kujitafutia complications zisizo na msingi,samahanini sana single mothersPabaya pale wanasema nipo tayari kufanya lolote kwa ajili ya mwanangu alafu gafla anakwambia mzazi mwenzie kapiga simu au wanawaita baba mtoto wangu
Bora huko maana huyo mtoto unakuwa umezaa nae wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu yalishawahi kukukuta nini????
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbona hata huku upande wa pili huwa tunapigwa hizo pini lakini tuna vumilia na kwenda kunywa konyagi kusawazisha hali
Bora umejisemea ukweli uliopoIla tuache masihara jamani single mother wengi hua ni watamu kinoma.
Hilo tu ndio linatufanya vijana wengi hatutaki ushauri wala nasaha juu yao.