Madogo achaneni na masingle mother

Madogo achaneni na masingle mother

Lengo si kuwakejeli watu hao bali ni kisa tu kama visa vingine. Kuna nyuzi za madogo wa 26> ages wamedata sana kwa single mothers.
Back to the story;
Nina mdogo wangu mmoja ana miaka 24, na anapiga boda boda. Toka abarehe hajawahi kuopoa videm vya level zake,yeye ni mitandam tu kwa kigezo cha ghalama na upatikanaji ( cost and availability). Mwaka Jana nilikutana nae na nikamshauri achane na watu waliomzidi umri na atafute wa chini yake (17 - 20),akakubali.
Hakubadili msimamo akawa anatembea na masingle mother wenye watoto 2,3,4 na akipata mwenye mtoto 1 atajisifu kama kapata bikra.
Juzi kati alinambia bro nimepata kitu kikali na nitakileta ukione. Wakaja home dogo na shem, nikaandaa msosi wanguvu, na nilifurahi sana. Sifa za Shem ni white, short chases na churalized woman. Nikamkubali dogo kwa uchaguzi alioufanya.
Jana nimekaa na wife nikawa namsifu dogo kwa uchaguzi mzuri na kuachana na masingle mother. Aisee wife alinicheka mpaka akanikera, baadae akanambia "kazi zako zinaluweka mbali na jamii". Akaendelea kwa kusema kuwa yule binti anamjua na anawatoto 4!! Ila umbo ndo linambeba. Nikamtafuta sister nae kanipa the same Info's.
Agghh aisee hali niliyonayo huyu dogo lazima anirudishie hela niliyotumia kumpongeza. Nilipokuwa nae kabla nilimshauri amuoe kabisa yule dada ila kwasasa mhhh!
Akioa hapo huyo hata handicap inagoma, 1 × 2 ni 0 - 4 kabla ya mechi. Nimeshamwambia kuwa lazima arudishe hela yangu sitaki upuuzi mimi.
Men are tne source OF single mothers! And always are complaining instead of finding the solution, Why???
 
Mpaka sasa Wanaume wa JF 3- Single mother 0!

Hii vita sijui itakuja kuisha lini humu ndani😂😂😂😂
 
Mpaka sasa Wanaume wa JF 3- Single mother 0!

Hii vita sijui itakuja kuisha lini humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]hii vita hsitsisha mura kama waisraeli na wapalestina
 
Single mother ni mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa ikiwa baba wa mtoto hajulikani au yupo hai na hashiriki chochote ktk malezi ya mtoto na single parent ni mzazi aliyetengana na mwenza wake au kufiwa
Hivi hili neno 'single mother' tafsiri sahihibya kiswahili ni nini? Amezaa njee ya ndoa, mtoto hana baba kabisa (ubin), ana baba ila hawakai pamoja...mwenye uelewa tafadhali !
 
[emoji23][emoji23] pia uzuri wenu nyie ni easypick hamzingui nikija na zawadi ya mtoto cku mbili 3 ...napewa mzigo mtaishia kuzalishwa kila mtt na babae.
Unaweza ukawa sahihi, na sisi hatuna tatizo. Tatizo mnalalamika as if mmelazimishwa, sie hatulalamiki gongeni muende
 
Unaweza ukawa sahihi, na sisi hatuna tatizo. Tatizo mnalalamika as if mmelazimishwa, sie hatulalamiki gongeni muende
Kwahiyo kwa lugha rahisi ni kwamba tunajishtukia eti!
 
Tatizo viuno kama fan bovu ndo vinavyotupagawisha[emoji1787][emoji1787]
Unaweza ukawa sahihi, na sisi hatuna tatizo. Tatizo mnalalamika as if mmelazimishwa, sie hatulalamiki gongeni muende
Tunakuwa
 
Kwahiyo kwa lugha rahisi ni kwamba tunajishtukia eti!
Mnajishtukia vibaya mno, na sie Ni nyege tu zinatusumbua hatuhitaji mje kujenga boma. Tusokotane kila mtu apite hivi...ukiona anafaa kuoa oa at your own risk.
 
Enzi hizo nilikutana na bint niliyesoma nae msingi,nilimkuta na mtoto 1 wakiume,daaahh sikujua aliye mzalisha kwanini alimuacha nikaparamia nakujifanya baba bora,nikalea na nikamzalisha namimi kidume kingine,yaliyonikuta siri yangu,sema nikajua kwanini mwenzangu aliacha lilebalaa,basi namimi nikasepaaaaaa,ila anabahati amepata bwana mwingine na amezalishwa tena,kwahiyo mpaka sasa bint anawatoto 3 baba tofauti.
 
Mnajishtukia vibaya mno, na sie Ni nyege tu zinatusumbua hatuhitaji mje kujenga boma. Tusokotane kila mtu apite hivi...ukiona anafaa kuoa oa at your own risk.
Basi sawa! jioni wanaume tutakuwa na kikao chetu tukubaliane kama single mother na kuwagegeda tu kuoa tuwaachie akina KAPUYA
 
Back
Top Bottom