Sababu inayofanya watu wengi wasianike chupi ktk kamba nje au hadharani tofauti na nguo nyingine ni madoa sugu "skid marks" hasa kwa chupi nyeupe, solution yake ni nini? Fungukeni
Chanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni