Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

safi sana mvua imeanza kunyesha sasa ccm wangoje kusombwa na mafuriko.
 
madiwani wote wa ccm toka halmashauri ya meru mkoani arusha wote wamehamia chadema

mbuyu unapondeka kwakakasi sana ccm kwishenei kwishenei.

Muda huu madiwani hao wamehamia chadema
acheni zenu hata katibu mkuu kinana alisha sema hayo ni makapi hatuna haja nayo..
 
Huyo lotho ni kapi la kufa mtu!
Aligombea uenyekiti wa kijiji akaangua pua.
Amegombea kura za maoni udiwani amepigwa chini na akithubutu kugombea udiwani kupitia chadema atapigwa chini vile vile...wameru sio mchezo kama hawakutaki pumzika.
 

Hujasomeka mkuu
 

Naunga mkono hoja kwa 100%
 

Attachments

  • 1438969212673.jpg
    39.1 KB · Views: 251
  • 1438969276585.jpg
    67.8 KB · Views: 239
duu haya magumi kwenye kidonda nimependa sana, chadema kuweni na huruma kiaina, teh teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…