Hakuna kuwa na mkoa kama Pwani ndani ya Dar. Hakuna kiungo cha Rungwe na Mbozi kupitia Ileje lazma utokee Mbeya. Labda makao makuu yawe katka Wilaya ya Ileje na kuchukua baadhi kata za Mbeya Vijijini
huuu ni ujinga ambao ccm wanaufikiria. aafu kwenda huko momba ni lazima upite mbozi, pumbavu sana. si wangependekeza uyole iunganishwe na isyonji, igoma iwe wilaya moja? aafu waongeze na kyela, mbarali, tukuyu na ileje?
Mkuu Mbugi ee, unajua ukisema hivyo ni kama unakubaliana na dhana ya kuongeza mkoa. Wazo zima ni upuuzi wa kuongeza gharama za uendeshaji wa serikali. Halina maana kabisa.
Hapa kinachotafutwa ni upuuzi wa kuongeza bajeti kwa ajira mpya ya Mkuu wa Mkoa mpya, mashangingi mengine FFU kulinda mkuu wa mkoa mpya na gharama nyingine lukuki ambazo zinahusiana na uendeshaji wa serikali ya Mkoa. Wazo hilo ni economically unreasonable kabisa. Mi hata naliona kama jitihada ya kuwagawa watu wa Mbeya.
NDOMYANA ngoja nimtafute m/kiti wa hiyo halmashauri anipe tofauti zake ili nizijue.
Yes! Nadhani ni kitu ambacho kinaweza fanya kazi pia. mf mbalali madibila chimala
Hakuna kuwa na mkoa kama Pwani ndani ya Dar. Hakuna kiungo cha Rungwe na Mbozi kupitia Ileje lazma utokee Mbeya. Labda makao makuu yawe katka Wilaya ya Ileje na kuchukua baadhi kata za Mbeya Vijijini
Mkuu mi sio mtaalamu sana ila katika kufuatilia nliambiwa busokelo sio wilaya ila walichokifanya ni kuigawa tukuyu kua halmashauti mbili ambayo kati ya hizo busokelo nu halmashauri inayojitegemea na rungwe nayo ni halmashauri,. Ila uneza uliza zaidi ukaelekezwa na wataalam
sawa mkuu nafkiri ukipata jibu utakuja nielekeza zaidi na mie
Hoja ya kuugawa mkoa wa Mbeya ni mufilisi na ambayo haina tija!! Kuwa na mikoa mingi siyo maendeleo! Isitoshe rasimu ya katiba mpya imependekeza majimbo 25 tu!!Ndugu Watanzania na wazalendo.
Mnamo tarehe 1/5/2015 katika sherehe za Mei Mosi Rais Kikwete alitangaza kuruhusu kugawa Mkowa wa Mbeya. King'anganyiro hiki kimeanza hukuwa Wanyakyusa wakidai Mkoa mpya uitwe Rungwe na Makao Makuu yawe Tukuyu.
Huku Wana Mbozi wakidai Mkoa Mpya uitwe Songwe na Makao yake makuu yawe Mbozi (Vwawa).
mi nadhani wakati umefika sasa kwa wana mbeya kuangalia sababu za msingi na kuancha ukabila na ubwanyenye wa kiu chumi uliojaa ukiritimba.
Moja wapo ya sababu ni hizi:
1. Kusogeza huduma kwa wananchi
2. Uchumi wa eneo husika
3.Jiografia ya Maeneo yanayotarajiwa kuunda mkoa mpya
4. Asili na kasumba ya watu wa maenwotweo tarajali
Na sababu nyingine kedekede ambazo nazitaraji kutoka kwenu wadau mnaoufahamu mko wa mbeya.
Karibuni wote