Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.
Ni kweli wale madiwani kama uamuzi ulikuwa na shinikizo basi watalia sana, maana mahakama imepigilia msumari kuwa kama wanataka wakate rufaa kwenye CC ya chama na si mahakamanio tena. Mimi nitoe pongezi kwa hakimu kupractice weledi wake badala ya kuburuzwa! Hiyo ni changamoto kwa hao madiwani kuwa hakuna aliye maarufu kuliko chama. Chama ndiyo kimewafikisha hapo, hivyo hawakutakiwa kubweteka na kuitunishia misuli CC.
Ngoja tuone Mkuchika naye atasemjae baada ya hukumu hiyo.
waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, mpanda, rehema...tutaendelea kuwajuza..
<br /> <br / hao akina yuda eskariot wamefika??naona lema na mbowe wanaingia..
Mahakama zinatii maagizo ya Mkuchika kuwarudishia uongozi. Sijui wawakilishi wa nani? Mahakama au serikali au Mkuchika?waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, mpanda, rehema...tutaendelea kuwajuza..
waliokuwa madiwani kupitia chadema wilaya Arusha mjini na chadema watatinga mahakamani ni kwenye sakata la wasaliti hao kutaka kurudishiwa uanachama wao na kuendelea udiwani wao, madiwani hao ni malla, Bayo, mpanda, rehema...tutaendelea kuwajuza..
Wapenda amani wote wapo?bado kesi haijasomwa hivyo tuko hapa nje watu wanazidi kujaa..