Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,061
Mwafrika na demokrasia ni kama mafuta na maji. Kweli tuna safari ndefu sana ya kujifunza na kufikia viwango vya wenzetu wa Ulaya na Marekani.
Hawa wataangushwa kwenye uchaguzi wenyewe , ni sawa na kuahirisha matanga , maana kama ni kifo tayari .Ccm watakuwa wameona aibu kumharibia maisha mtu sio jambo zuri ila sehemu wanayowapeleka ni nzito zaidi wanaenda kupambana na hasira za raia.
CCM iliwanunua kweli na siyo utani.Hizo ndiyo ngonjera za ccm
Akili za Kilumumba tabu sana asiee,Mbona umeandika kishabiki ndugu yangu, hebu tuache siasa hizo wao ni wana ccm so wanahaki kupeperusha bendera...Ukiliona hilo sio jema tukumbuke tuliwapa Masha,Bulaya,Lembeli n.k kwani wana Chadema wenzetu hawakuwepo?? Wewe ndo kijana tukutegemee kujenga nchi??
Mbona umeandika kishabiki ndugu yangu, hebu tuache siasa hizo wao ni wana ccm so wanahaki kupeperusha bendera...Ukiliona hilo sio jema tukumbuke tuliwapa Masha,Bulaya,Lembeli n.k kwani wana Chadema wenzetu hawakuwepo?? Wewe ndo kijana tukutegemee kujenga nchi??
Mkuu ndio hawa wanagombania mgao????watauana mwaka huu![]()