MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.
MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Acha unafiki wewe, hao madiwani walipoulizwa gazeti la Mwananchi, juu ya ugomvi huo walikana kwamba hapakuwa na ugomvi kati yao wala hakuna jambo kama hilo, hizo ni propaganda zenu magamba mkiongozwa na Mwenyekiti wenu wa madawani magamba Moshi Bw MWITA.
Hata mfanyeje hamuwezi kuing'oa CHADEMA Moshi, kajaribuni kwenye miji mingine ila si Moshi.
Msikiti wa Kwamtoro Kariakoo haupiti mwezi mzima bila kuchapana.Tena wakati wanachapana ukifika huwezi kugundua nani sheikh,imamu,ustadhi wala muumini wa kawaida.sembuse madiwani.MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.
MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU
He he heeeeee kumekucha , waache wafu wawazike wafu wenzao. Hapo bado hawajapewa nchi, siku wakipewa nchi watagombea mpaka hazina ya nchi na kugombea rasilimali za nchi. Tuliisha sema cdm iko kwa maslahi binafsi na si ya nchi, kalagabaho !
Mkuu, hujawahi katika maisha
yako kuona au hata kusimuliwa watoto wa baba na mama mmoja wakigomabana
au hata kukipigana?