Madiwani wa CHADEMA manispaa ya Moshi kichekesho

Hivi wewe kama ni mgeni umeenda moshi, ukajisahau ukatupa karatasi ya vocha, alafu ukatozwa sh 50000 kama huna ukapelekwa jela vp ni freshi?

Ignorance of law is not a defense.......
 
Sihangahiki na post za uzushi,maana naona humu JF kumevamiwa sana,na mods anawalea sana hawa wanaoleta post za kizushi.thibitisha sheria zilizoondolewa au kufutwa na madiwani wa CDM.na onyesha ni jinsi gani mji wa Moshi ulivyorudi nyuma kwa usafi.
 
mleta mada ni muongo na mzushi mkubwa,Moshi ni pasafi sana vinginevyo uthibitishe uliyoyaandika
 
Kwani mkuu hujui kuwa madiwani wa cdm ni vigeugeu

Viongozi wa CCM wako tayari kufa kulinda Biashara yao ya Unga. Majukwaani vigeugeu kama kinyonga. Kachukue posho yako ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…