Madiwani wa CHADEMA manispaa ya Moshi kichekesho

Madiwani wa CHADEMA manispaa ya Moshi kichekesho

Hivi wewe kama ni mgeni umeenda moshi, ukajisahau ukatupa karatasi ya vocha, alafu ukatozwa sh 50000 kama huna ukapelekwa jela vp ni freshi?

Ignorance of law is not a defense.......
 
Wanajf,

Kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Jambo la kushangaza ni kwamba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa Chadema kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kanadamizi.


Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa CHADEMA mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.
Sihangahiki na post za uzushi,maana naona humu JF kumevamiwa sana,na mods anawalea sana hawa wanaoleta post za kizushi.thibitisha sheria zilizoondolewa au kufutwa na madiwani wa CDM.na onyesha ni jinsi gani mji wa Moshi ulivyorudi nyuma kwa usafi.
 
mleta mada ni muongo na mzushi mkubwa,Moshi ni pasafi sana vinginevyo uthibitishe uliyoyaandika
 
Kwani mkuu hujui kuwa madiwani wa cdm ni vigeugeu

Viongozi wa CCM wako tayari kufa kulinda Biashara yao ya Unga. Majukwaani vigeugeu kama kinyonga. Kachukue posho yako ya leo.
 
Back
Top Bottom