Madiwani wa CHADEMA manispaa ya Moshi kichekesho

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,342
Wanajf,

Kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Jambo la kushangaza ni kwamba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa Chadema kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kanadamizi.

Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa CHADEMA mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.
 
Wanajf, kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki. Jambo la kushangaza ni kwamaba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa cdm kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kandamizi . Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa cdm mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.

Tanzania kama Nchi imepoteza au imepata harasara kiasi gani kwa kuondolewa sharia hiyo ?
 
Mimi nataka ipunguzwe elfu 50 ni kubwa mno ilikuwa inatoa nafasi kubwa ya rushwa.
Sasa waweke elfu 2 hadi 5 na watu wapewe hizo by laws mimi nimehangaika kutafuta zaidi ya miezi miwili sijafanikiwa kupata hizo by laws
 
Hebu tusaidie tukuelewe vyema ni sheria ipi hasa iliyofutwa na Madiwani hata wawe kichekesho ? Kwa sababu by law yeyote inapitishwa na baraza la madiwani na kupewa baraka za Waziri Mkuu sasa je Waziri mwenye dhamana amekubalije kufuta sheria ambayo aliipitsha au huo ni uzushi usio na tija hapa JF?
 
Hujui ukisemachona njaa inakusumbua, sheria hizo zilitungwa na chadema na sasa wazipinge?! Ndugu usifikiri moshi ni lumumba.
 
Wanajf, kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki. Jambo la kushangaza ni kwamaba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa cdm kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kandamizi . Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa cdm mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.

Kama huna chakufanya kakojoe ulale sio kupotosha huku kwenye Jf. Huo uchafu unaozungumzia uko wapi. Mitaa yote katikati ya mji kusafi sana nenda pembezon pasua soweto majengo kb msaranga bonden karanga kiusa kote kusafi. Inaonyesha wewe ni zuzu na kinachokusumbua hapa ni njaa unataka usajili wa buku7 hapo lumumba.
 
Fafanua ueleweki sheria zimefutwa lini tujue
 
Wanajf,

Kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Jambo la kushangaza ni kwamaba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa CHADEMA kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kandamizi .

Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa CHADEMA mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.

Hivi wewe kama ni mgeni umeenda moshi, ukajisahau ukatupa karatasi ya vocha, alafu ukatozwa sh 50000 kama huna ukapelekwa jela vp ni freshi?
 
Hujui ukisemachona njaa inakusumbua, sheria hizo zilitungwa na chadema na sasa wazipinge?! Ndugu usifikiri moshi ni lumumba.

Kwani mkuu hujui kuwa madiwani wa cdm ni vigeugeu
 
Kule kwenye uzi wa madawa ya kulevya mbona hamuonekani???
 
Ni upuuzi mtupu hakuna cha mji msafi wala nini, nilipita pale Moshi bus stand the way to Dar nikatupa nikanunua maji ya kilimanjaro wakati narudi kwenye bus pale mlangoni nikaangusha kikaratasi kidogo cha kwenye kifuniko cha maji nikakiokotA, hao jamaa wa usafi walinifuata mpaka ndani ya bus wakanishusha wakanipileleka ofisini kwao pembeni ya police station ya Moshi mjini wakanipiga faini ya elfu50 nikalipa kurudi stand bus limeniacha na mizigo imeenda na bus kika kitu kikapotea.

Cha kushangaza ukienda pale pembeni ya bus stand wanaita double road the way to stand ya Mboya barabara ni chafu mitaro haifai sasa unakuja unajiuliza huo usafi wa mji wa moshi uko pale bus stand kuu tu au wapi??

Acheni utapeli nyie kina Makupa, matapeli wa TAG
 
Sasa hapo ni kipi kimekuchekesha au hazimo,watu tuliandaa mbavu kumbe hamna kichekesho chochote.
 
Wewe kichaa wewe hatutaki kandamiza wapiga kura wetu tunawapenda cna
 
Wanajf,

Kwa takribani kwa miaka mitano iliyopita Manispaa ya Moshi imekuwa kinara wa miji misafi kabisa kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Jambo la kushangaza ni kwamba sheria ndogo ndogo zilizokuwa zimepitishwa na ambazo zilisaidia sana kuweka mji kwenye hali ya usafi zimeondolewa na madiwani wa Chadema kwa kisingizio ya kwamba ni sheria kanadamizi.

Kutokana na kufutwa kwa sheria husika kwa nguvu ya madiwani wa CHADEMA mji wa moshi kwa sasa umepoteza sifa ya kuwa mji msafi kuliko miji yote hapa Tanzania.
Mbona hauongelei kuhusu barabara safi za rami na kuongezeka mapato ya ndani kutoka bilion 1.8 kwamwaka kabla CDM hawajashika manispaa mpaka bilion 4.2 baada ya CDM kushika manispaa?
 
Pia kumbuka ukitema mate,tupa kitu na ukipack gari vibaya adhabu lazima ukutane nayo hapa moshi kama huamini jaribu,naishi hapa
 
Ni upuuzi mtupu hakuna cha mji msafi wala nini, nilipita pale Moshi bus stand the way to Dar nikatupa nikanunua maji ya kilimanjaro wakati narudi kwenye bus pale mlangoni nikaangusha kikaratasi kidogo cha kwenye kifuniko cha maji nikakiokotA, hao jamaa wa usafi walinifuata mpaka ndani ya bus wakanishusha wakanipileleka ofisini kwao pembeni ya police station ya Moshi mjini wakanipiga faini ya elfu50 nikalipa kurudi stand bus limeniacha na mizigo imeenda na bus kika kitu kikapotea.

Cha kushangaza ukienda pale pembeni ya bus stand wanaita double road the way to stand ya Mboya barabara ni chafu mitaro haifai sasa unakuja unajiuliza huo usafi wa mji wa moshi uko pale bus stand kuu tu au wapi??

Acheni utapeli nyie kina Makupa, matapeli wa TAG
Safi sana. Ulipata ile kitu roho yako ilikuwa inatafuta. Siku ingine utafahamu kuwa Moshi siyo mahali pa kujiachia na mauchafu yako. Kwa experience hii sishangai kuwa post yako inaonesha kuwa mji wa Moshi umekubowa ile mbayaa. Pole lakini ni kwa mafunzo kama haya tu ambapo heshima inajengeka.
 
-------, acha upuuzi huu uzi wako hauna maana kabisa nipo hapa Moshi na usafi unarithisha waulize ccm alivyokuja Obama ilikuaje then nenda dar leo utujuze utakuta pakoje.cdm wanafanya kazi nzuri sana
 
Back
Top Bottom