Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
hii ni kweli hebu nambie kiwanja vilivyopimwa arusha seliani ni million 18 ni mtz wa aina gani wa mshahara hata kama unapata m5 utakipataje achilia mbali sisi wa 500,000
Mkuu we acha tu, viwanja vya Burka tulitoa laki sita kwa kila mwombaji nadhani, matokeo yake akina Rizimoko wakaja na mamilioni, akina sisi wengine hata pesa zetu hazijarudishwa!
Tanzania ni nchi ya familia moja!
Heri Lowassa angekuwa rais kuliko huyu mbuzi katoliki, japo Lowassa naye kajipatia eneo la Suma Jkt kwa njia ya panya afadhali yake!