Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
wasiwasi wangu ni kwamba Serikali inaweza ikamuhamisha huyu mkurugenzi kwasababu wanaona ni mwiba kwa CCM.
...Wajaribu waone!!!
....dadadek tutamwajiri kwa kodi na michango ya wanaarusha kama consultant wa Mkoa!!!!