Madiwani wa CCM wakimbia kikao Arusha

Madiwani wa CCM wakimbia kikao Arusha

Acha wakimbie tu maana hawana chao tena 2015. CCM inatafunwa na laana kutoka kwa Mungu na kwa wananchi. Go to hell CCM
 
Mama Spora Liana ni kiboko ya mafisadi....

CDM tukichukua nchi 2015 tumteua huyu mama kuwa KATIBU MKUU wizara ya Fedha na Uchumi.

CDM ni ZERO torelance na mafisadi tunataka Watanzania wenye moyo na uchungu na nchi yao kama huyu mama.
 
alwayz i do trust on SPORA LIANA. Ni aina bora ya wakurugenzi waadilifu wachache tulionao tanzania. yule mbunge wa bahi omari badwel anamtambua jinsi alivyomdakisha rushwa. ARUSHA MOTO HALMASHAURI NDO UNAWAKA, NA BADO HATUJAONGEZA KITI CHA SOMBETINI, maana hata mungu hawezi kuwasaidia ccm kukipata
 
acha CCM waanze mazoea ya kuwa wapinzani,safi sana makamanda!!!
 
Ni kweli maccm wamekimbia,kwa hoja kuwa Mkurugenzi anamdharau meya wa kichina

Mwenye akili timamu yeyote yule lazima anamdharau huyu Meya wa kichina kwa kuwa anajua hayuko hapo kihalali, labda tu wale wa upande wa pili wenye akili za maccm zisizojitofautisha na za maiti.
 
dah!ngoja niwazomee kidogo...
haoooo haooo sura kama makokoi haoooooo tokaaaaa
 
Kwa muda mrefu Meya wa kichina amekuwa akifisadi fedha za Halimashauri,rejea uzinduzi wa jiji,pia mchina amewekwa mfukoni na baadhi ya wafanyabiashara na hivyo hataki vikao ili asije kuumbuliwa kwenye vikao
 
Au chadema walianza kupigana nini make wao hoja yao siku zote ni kupigana kwenye vikao.

ukileta za kuleta lazima ufunzwe, maana yaweza kuwa hukufunzwa kufuata taratibu na kanuni.makonde yaweza kuwa sahihi kutegemea na ujimnga wako.
 
I doubt kama mleta mada anauhakika na alichokisema,ninavyowajua MACCM,sio rahisi kuweka mpira kwapani wanajisemea kila siku wao ndo wenye nchi,mkurugenzi ameletwa na wao sasa watakimbiaje kikao?pls try to get more info on this,otherwise will termed this as a mere allegation

...mkuu amini tu,maccm yanataka refa avae jezi zao,kagoma wameweka ngoma kwapani wanasepa...
 
Kwa muda mrefu Meya wa kichina amekuwa akifisadi fedha za Halimashauri,rejea uzinduzi wa jiji,pia mchina amewekwa mfukoni na baadhi ya wafanyabiashara na hivyo hataki vikao ili asije kuumbuliwa kwenye vikao

Kamanda mthibitini Mchina mpaka akimbie ofisi,hawezi kunajisi AR mbele ya makamanda
 
Mimi nipo Arusha na najikubali kwa sababu mapinduzi yakweli yataanzia Arusha.

Naichukia ccm sana.
 
Ngome kuu ya CHADEMA mojawapo ni Arusha, ni lazma CDM iendeshe jiji, mkurugenzi fanya kazi kwa mujibu wa sheria. itisha uchaguzi haraka wa kata ya sombatini... CDM iendeshe jiji,
 
wasiwasi wangu ni kwamba Serikali inaweza ikamuhamisha huyu mkurugenzi kwasababu wanaona ni mwiba kwa CCM.
 
...

....Huyu ndo mama jembe!!!

.....mama kaenda kazini....akirudi kazini anawaletea watoto matunda,maziwa, samaki nk

.....CHEZEA MAMA ANAYEPENDA WATOTO WAKE WEWE!!!!


KULIKO!!!


..... yule anayekwenda mamtoni na pipa kwa kodi zetu...kununuwa mikufu, magauni,mahereni,parapuchi,pochi ya dhahabu....eeeeeeegrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!
 
Back
Top Bottom