Madiwani wa CCM wakimbia kikao Arusha

Madiwani wa CCM wakimbia kikao Arusha

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
482
Reaction score
131
Wadau,
Kuna mvutano mkubwa sana kwenye kikao cha baraza la madiwani,baada ya meya na madiwani wa ccm kususia kikao na kutoka nje,kwa madai kuwa Mkurugenzi anawadharau,sasa wamebaki madiwani wa CHADEMA na TLP.
 
Meya wa Kichina Gaudense Lyimo! Na bado tunataka uchaguzi wa kata ya Sombetini haraka sana.
 
Wadau
Kuna mvutano mkubwa sana kwenye kikao cha baraza la madiwani,baada ya meya na madiwani wa ccm kususia kikao na kutoka nje,kwa madai kuwa Mkurugenzi anawadharau,sasa wamebaki madiwani wa CHADEMA na TLP

Haohao waliobaki wafanye maamuzi ya dhumuni la kikao hicho kama walivofanya wabunge wa CCM na Lyatonga Mrema kuhusiana na rasimu ya katiba mpya hivi majuzi. Jino kwa jino!
 
Nuru yaanza kuwaangazia Tz. taratibu, kwani sasa ni zamu ya maccm kuweka mpira kwapani Arusha wanaanza kupoteza matumaini taratibu.
 
Wadau,
Kuna mvutano mkubwa sana kwenye kikao cha baraza la madiwani,baada ya meya na madiwani wa ccm kususia kikao na kutoka nje,kwa madai kuwa Mkurugenzi anawadharau,sasa wamebaki madiwani wa CHADEMA na TLP.

safi sana CCM. CHADEMA waone kama maamuzi watakayopitisha watashindwa kuyatekeleza
 
Uzuri wa huyo mama anasimamia haki hataki ubabaishaji, si mnakumbuka ndiye alikuwa Moshi, nako nakumbuka madiwani wa CCM waliandamana mpaka kwa Lowassa akiwa waziri mkuu kuwa hatumtaki huyo mama. Mama akili yake iko juu sana ujinga huwa hapendi kabisa
 
I doubt kama mleta mada anauhakika na alichokisema,ninavyowajua MACCM,sio rahisi kuweka mpira kwapani wanajisemea kila siku wao ndo wenye nchi,mkurugenzi ameletwa na wao sasa watakimbiaje kikao?pls try to get more info on this,otherwise will termed this as a mere allegation
 
Nuru yaanza kuwaangazia Tz. taratibu, kwani sasa ni zamu ya maccm kuweka mpira kwapani Arusha wanaanza kupoteza matumaini taratibu.

kama CHADEM walivyoweka kwapan mpira wa katiba mpya
 
I doubt kama mleta mada anauhakika na alichokisema,ninavyowajua MACCM,sio rahisi kuweka mpira kwapani wanajisemea kila siku wao ndo wenye nchi,mkurugenzi ameletwa na wao sasa watakimbiaje kikao?pls try to get more info on this,otherwise will termed this as a mere allegation

....Mkuu wamekimbia!!!!

.....
 
chanzo cha mvutano ni nini mkuu?.inawawia watu vigumu kutoa comment zenye kujenga
 
Au chadema walianza kupigana nini make wao hoja yao siku zote ni kupigana kwenye vikao.
 
Uzuri wa huyo mama anasimamia haki hataki ubabaishaji, si mnakumbuka ndiye alikuwa Moshi, nako nakumbuka madiwani wa CCM waliandamana mpaka kwa Lowassa akiwa waziri mkuu kuwa hatumtaki huyo mama. Mama akili yake iko juu sana ujinga huwa hapendi kabisa
Hivi huyu ndo alikuwa moshi? Sure ?
 
Haohao waliobaki wafanye maamuzi ya dhumuni la kikao hicho kama walivofanya wabunge wa CCM na Lyatonga Mrema kuhusiana na rasimu ya katiba mpya hivi majuzi. Jino kwa jino!

mkuu kumbe inakuuma sana kwenye moyo wako pole bwana vumilia
 
Back
Top Bottom