..Sikilizeni UFISADI unaofanywa na CCM huko mawilayani na majimboni.
..Madiwani wamefura kwa posho na bado wanataka zaidi.
..Sikilizeni UFISADI unaofanywa na CCM huko mawilayani na majimboni.
..Madiwani wamefura kwa posho na bado wanataka zaidi.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kusema kweli nimesikiliza mwanzo hadi mwisho sijaona ufisadi wowote.Nimefurahia mjadala,ukomavu we mwenyekiti wa kikao pia DC yuko vizuri.
Indeed mkuu. Lakini siku zote kwenye vikao vyenye sura ya kisiasa ni vigumu sana kwa wazo mbadala hata kama ni zuri na la kitaalam kiasi gani kupata uungwaji mkono. Wao wakilitaka lao ni lazima liwe, whatever the means. Wataalamu kwenye hizi halmashauri wana taabu SANA kufanya kazi hawa madiwani vichwa vitupu. Lakini msingi wa haya ni mfumo mbovu wa malezi ya Vijana na maandalizi MABOVU ya viongozi tokea huko. Huko wanafunzwa propaganda na kukabili upinzani tu na sio misingi ya utawala bora. Nimehudhuria vikao kadhaa vya umoja wa vijana wa Chama fulani nikaishia kupata kichefuchefu tu.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kusema kweli nimesikiliza mwanzo hadi mwisho sijaona ufisadi wowote.Nimefurahia mjadala,ukomavu we mwenyekiti wa kikao pia DC yuko vizuri.