Madiwani wa CCM Gairo wamefura kwa posho na bado wanadai zaidi. Vurugu katika kikao

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,408
54,886
Sikilizeni UFISADI unaofanywa na CCM huko mawilayani na majimboni.

Madiwani wamefura kwa posho na bado wanataka zaidi.

Fedha kwa ajili ya vijana na wanawake zimetafunwa na madiwani wa CCM.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kusema kweli nimesikiliza mwanzo hadi mwisho sijaona ufisadi wowote.Nimefurahia mjadala,ukomavu we mwenyekiti wa kikao pia DC yuko vizuri.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kusema kweli nimesikiliza mwanzo hadi mwisho sijaona ufisadi wowote.Nimefurahia mjadala,ukomavu we mwenyekiti wa kikao pia DC yuko vizuri.

..madiwani kulipana posho mpaka wilaya imekosa fedha kwa ajili ya miradi ya vijana na kinamama unaona ni sawa?
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kusema kweli nimesikiliza mwanzo hadi mwisho sijaona ufisadi wowote.Nimefurahia mjadala,ukomavu we mwenyekiti wa kikao pia DC yuko vizuri.
Indeed mkuu. Lakini siku zote kwenye vikao vyenye sura ya kisiasa ni vigumu sana kwa wazo mbadala hata kama ni zuri na la kitaalam kiasi gani kupata uungwaji mkono. Wao wakilitaka lao ni lazima liwe, whatever the means. Wataalamu kwenye hizi halmashauri wana taabu SANA kufanya kazi hawa madiwani vichwa vitupu. Lakini msingi wa haya ni mfumo mbovu wa malezi ya Vijana na maandalizi MABOVU ya viongozi tokea huko. Huko wanafunzwa propaganda na kukabili upinzani tu na sio misingi ya utawala bora. Nimehudhuria vikao kadhaa vya umoja wa vijana wa Chama fulani nikaishia kupata kichefuchefu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom