Madiwani Kwa Lowassa Wasusa

walikuwa 38, mbona wengine hatusikii kelele zao huko wanapotoka mikoani....mwizi mkubwa huyo...mwambie aendelee kuchukia umaskini...wanamonduli ni matajiri maana kawatumikia kitambo sana..
Nchi haiongozwi na mafisadi hii...haturudii makosa.
huwasikii ila wameumia sana,roho zinawauma.mtafute mwandosya uone
 
Maridhiano ya nn?Magufuli ndie kiongozi alifanya kazi kuliko wote,ndomana kapewa hiyo nafasi!ASIYEFANYA KAZI NA ASILE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…