Madiwani Chadema walipuana.

Sioni jambo la ajabu hapo, hata kama ni diwani aliyefichua uovu wa mwenzie anapaswa kupongezwa, cdm haifanan na ccm wanaolindana, ccm imelaaniwa na kifo chake hakipo mbali.
 
Alikua nanilii wangu,ila mwigulu kanizidi
 
You are just a dead dog .Can you do it without Chadema ? Sasa leo Chadema ikifa si utakuwa huna kazi maana siasa zako ni Chadema na matusi .You are just a corpse

s / he will find another opponents sir / madam.... just forget that don't, today's afresh is no time corpse!! so beware ms/ mr CORPSE!!!!
 
We J Shonza akili yako haina akili, pile saana, ndo unazama hivyo, chunga!!
 

Dada sijawahi kufikiria kama una akili finyu kama post yako ilivyo.hivi kukosoana ni laana?kama mtu kafanya makosa asiambiwe kwa kuwa wanatoka chama kimoja?au ndio maana kwenda kutuliza moyo huko uliko kwa kuwa hamsemani!tumia kiwango chako cha elimu yako ili usionekane mtu usiofaa ktk jamii iliyokwishastaarabika.
 

Huu uzi ni uchuro wa Bundi haswa!
 
Mleta uzi unatumika kama ndondocha wa huko ulikokimbilia na umesahau kuwa cdm ndo waliokuonyesha ulimwengu wa siasa! Hutakiwi kuwalaumu kwa lolote wala kuwasema vibaya kwani unaofikiri wanakusikiliza wanakung'ong'a na kukuona kama dodoki. Jitambue kwanza na siasa za aina yako zinakuonyesha ulivyo ndani ya ubongo wako kuwa wewe ni dv.5 hufai kuongoza hata bata. Jishangae mamluki wewe na waache madiwani wa watu wafanye yao. Mbona huwasemi wa cha kijani? Ni yote wanayoyafanya yanakubalika? Tafuta kazi ya kufanya siasa huziwezi. Toka lini diwani akakusanya ushuru? Haya, tutake radhi haraka sana!
 
Mh! jaman msaidien dada yetu nafkl hamjamwelewa! ANATAFUTA MCHUMBA. Labda awe anajaribu kuwa wazi.
 
Shonza, hivi Chagulani naye bado ni Diwani wa Chadema! Nijuavyo mimi, Meya Matata, na Chagulani ni Madiwani wa CCM kwa tiketi ya Chadema, kama ilivyo kwa Shibuda, Mbunge wa CCM kwa tiketi ya Chadema!

Mengineyo kuhusu ufisadi wa ntuhumiwa, sina comment.
 
Wanajamvi!

Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa Juliana Shonza kwa mujibu wa mahakama anatambulika kama mwanachama wa CHADEMA................. Bado mwenzake Mwampamba amechelewa kupeleka maombi ya pingamizi mahakamani kutokana na kufukuzwa CHADEMA..............
 
Ovyoooo kabisa akili ndogoooo.....
 
Hiyo mbona cha mtoto tunakusanya ushahidi Kuhusu wizi unaifanywa na madiwani wa CDM wakishirikiana na wazabuni walioshinda tenda za kukusanya ushuru ktk Jiji la Mwanza tunasubiri wakati muafaka tuaweka hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…