Madiwani CHADEMA Rombo wakimbiza mwenge

Hivi mmwenge una kitu gani cha maana hadi wanatu wanaulinda na binduki? au ni serikali wamekuwa ni waoga sana siku hizi kwa watu wanoawatawala? naona hata msafara wa jiwe binduki ni balaa
 
Kukimbiza mwenge nayo imekuwa ishu? Siku hizi siasa zimekuwa za kibaguzi sana.
 
CCM ni kama maji ,utake usitake lazima utawanywa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rombo madiwani wote chadema sasa wasipokimbiza nani atakimbiza mkuu
 
Kama mnazungumzia warombo wanaojitambua, mbowe yeye alitoka wapi? au bashiru yeye hajitambui
Aisee wewe mbona kichwa ngumu namna hii? Hapa ni hao warombo na mbio za mwenge ndio wanaozungumziwa. Mbowe fyekelea mbali.
 
Bashiru na warombo wanaokimbiza mwenge wapi na wapi. Hapa tunajadili warombo wewe unaanza oh Bashiru sijui nini. Fyekelea mbali.

Okey nimekuelewa CCM mnamfyekelea mbali Dr.Bashiru kwa kosa la kuitangazia dunia kuwa CCM mnaiba kura.
 
Bashiru na warombo wanaokimbiza mwenge wapi na wapi. Hapa tunajadili warombo wewe unaanza oh Bashiru sijui nini. Fyekelea mbali.
Mbowe na warombo wakimbiza mwenge wapi na wapi? fyekelea mbali kicha na washabiki wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…