ahmed godane
Member
- Nov 14, 2016
- 56
- 54
mkuu kwa bei hiyo utapigwa
kama unataka dirisha zuri sio chini ya 240000 kwa moja.
kioo mm5 na chuma nzuri sio za kichina
mim nilitengeneza kwa 240000 kwa ukubwa huo
kama unataka dirisha zuri sio chini ya 240000 kwa moja.
kioo mm5 na chuma nzuri sio za kichina
mim nilitengeneza kwa 240000 kwa ukubwa huo